Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Anayo degree??
Lukuvi anayo haki ya kufanya hivyo. Lakini ndani ya ccm si wanapeana miaka 10. Kama ndivyo basi mheshimiwa mama atagombea 2025. Vinginevyo labda wale WAGUMU wa kuelewa wanaosema mama anamalizia utawala wa awamu ya tano kikatiba, na baada ya hapo utaitishwa uchaguzi ndani ya chama kumchagua mgombea atakayewakilisha chama 2023 na kumpata raisi wa kuchaguliwa wa awamu ya 6.