Tetesi: Inasemekana Lukuvi atagombea 2025!

te he te he oyiiii
yakhe mwenza! au?


Waziri Mkuu kivuli na siyo msukuma. [sio tetesi]

Ah, kumbe tetesi.
Mtajijiju
 
'Network' ya Iringa pekee haitoshi, labda useme huo ndio mwanzo wa kazi.

Ingawa "kura yako umekwishaiondoa,' kuna wengine watakaompa kura zao kama atakuwa na ushawishi wa kuzipata kura hizo.

Tufike mahala, kama nchi, mtu 'serious' anapoamua kuchukua uamzi wa kujitoa mbele kutafuta nafasi ya kuwaongoza waTanzania, mtu huyo apewe nafasi ya kusikilizwa, tena asikilizwe kwa makini sana anachonuia kukifanya akiwa kiongozi wa nchi hii kwa manufaa ya waTanzania

Tuachane na hizi habari za 'uchawa na asali', na mambo mengine ya aina hiyo.

Lukuvi, kama ni kweli, tunasubiri kusikia ndoto zako kuhusu Tanzania na wananchi wake.

Tutakupima kwa vigezo hivyo vya uzalendo wako kwa taifa letu.
 
Huyu Lukuvi si ndio aliwatukana waislam Tena akiwa kanisani!?
Hatujasahau
 
Huyu Lukuvi si ndio aliwatukana waislam Tena akiwa kanisani!?
Hatujasahau
Aliwatukana waislam wote?
Hebu tuwekee hiyo taarifa nasi tuione.

Kama ni kweli, mbona litakuwa ni jambo la kusikitisha sana?
 
Sawasawa kama ni kweli.Kila mtu huwa na ndoto zake.Mipango huanza kabla ya matumizi.Achunge wakora wasimlie mapesa yake tu.Kila penye changamoto kuna watu hupata fursa.
Huyo haliwi hata mia na kama utakula pesa yake na usipomchagua ndio utajua hujui. Muhehe hana masihara huyo, ole wake mjumbe ule pesa yake then usimchague.
 
Keshaishiwa huyo hakuna anayewesa kumchagua.
Haya sasa, watu kama huyu hapa..., anatoa mipasho tu, haelezi chochote!
Ushabiki wa namna hii ndio umeshika hatamu ndani ya chama hiki cha CCM.

Alaa!
Kumbe ni yule yule niliyesema juzi hapa kuwa ni 'fanatic' tu humu JF kutokana na anayobandika kila siku.

Basi sawa, sitajibu tena.
 
Huyu ni STD VII halafu akaenda kuwa mwalimu wa UPE. Kisha TANU Youth League na warsha za Eastern Europe kusomea mambo ya siasa. Asijidanganye kwamba anajuwa kitu. Kilicho mfikisha hapo kuwa Waziri kwa Marais 4 ni tabia yake tu ya USNITCH au UNDUMILAKUWILI. Wasiomjua wanamuona mchapa kazi, ila tunaomjua tunasema hana lolote
 
Kwa nini umeamua kumtweza mutwa?
 
Labda Yako ila Mimi akigombea nampa
 
Afadhali kuna uhuru wakujaribu katala ila kipindi cha marehemu angeliwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…