Tetesi: Inasemekana Manji kakamatwa Marekani

Tetesi: Inasemekana Manji kakamatwa Marekani

Status
Not open for further replies.
Driving under the influence(DUI)

alizani huko ni bongo kanyaga twende........
 
Hapo kwenye charges wanasheria tusaidieni nomeshindwa kuelewa charge Yake Ni ya Nini kiingereza Cha wamarekani nimetoka sifuri
 
Huku tuliambiwa ni siasa na chuki kwa matajiri.

Vipi huko kwa mabeberu nao wana visasi naye?

Muda haujawahi kumuonea mtu.

(Bora iwe fake news?
 
Inasemekana Billionaire maarufu Yusuph manji yuko chini ya mikono salama huko Marekani kwa kukutwa akitumia ulevi wa madawa
Screenshot_2019-08-01-20-54-15-838_com.android.chrome.jpg

Hii ninawezekana ni katika kuchafuana tu. Hiyo ndiyo statement iliyoko kwenye hiyo web uliyoweka link
 
ila miaka kwenye DOB naona ipo different kwahio miaka hii ya leo lazima uwe Tomaso mpaka wasemaji wa Manji waseme ni yeye....kwahio hapo kwenye DOB bado kuna mashaka..., huenda wahindi wanafanana kama wachina na Wajapan...., Just Saying hii sio beyond reasonable doubts
Kwenye DOB kuna mashaka yapi ? Kwamba hajazaliwa 1975 au ?
 
Hapo kwenye charges wanasheria tusaidieni nomeshindwa kuelewa charge Yake Ni ya Nini kiingereza Cha wamarekani nimetoka sifuri
Unasemaga umeishi nje halafu hata maana ya DUI hujui.,hahah haya ni maajabu aiseee.
 
Sidhani kama ki kweli. Kuchafuana tu mitandaoni.
 
Unasemaga umeishi nje halafu hata maana ya DUI hujui.,hahah haya ni maajabu aiseee.
Sijaishi marekani .watiu charge huandika kirefu for everybody to know .Sio Kifupi fupi hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom