Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Tetesi: Inasemekana Mkuu wa Jeshi la IDF Harzi Halevi auwawa kwenye Shambulizi la Drone lilifanywa na Hezbollah hii Leo

Status
Not open for further replies.

Nijibu hivi urusi akitoa amri kuwa wananchi wote wa mji mkuu wa ukrsin waamia mkoa salama maana anaulipua huo mji kwa mabomu wote hadi makazi ya raia wewe unafikili nini ? Mfumo mzima wa maisha na kivita wa ukrain utasambalatika mara moja
Kwa akili zako timamu tangu russia aanze mashambulizi yake pale ukraine alikuwa anatoa taarifa na bado waukraine wanasurvive uko sawa wewe ? Punguza upunguani basi
 
Nadhani lile pigo la kushangaza dhidi ya Iran alilozungumzia bwana Nyau jana ndio hili ambalo amelishuhudia yeye 🤣.

Nanukuu:
Defence Minister Yoav Gallant promised an Israeli strike against Iran will be “lethal, precise and surprising.”

Sahizi wakali hawapoi, ni kipigo tu kutokea kila kona ya dunia😁
 
[emoji839]
20241013_000519.jpeg
 
Nadhani lile pigo la kushangaza dhidi ya Iran alilozungumzia bwana Nyau jana ndio hili ambalo amelishuhudia yeye 🤣.

Nanukuu:
Defence Minister Yoav Gallant promised an Israeli strike against Iran will be “lethal, precise and surprising.”

Sahizi wakali hawapoi, ni kipigo tu kutokea kila kona ya dunia😁
Wakali hawana cha kupoteza zaidi ya kupigania Aridhi yao. Nabahati mbaya hawaogopi kufa.
 
Taarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.

Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.

Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Army Chief of Staff sio Mkuu wa Majeshi Shehe. Rudi darasani
 
Washaanza kucheua huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wanasema ni mrusi

Observers in Israel:

The drone that penetrated the air defense system and advanced radars was not part of Hezbollah's weapons at all.

It is of Russian manufacture and recently arrived under the cover of Russian humanitarian aid delivered to Beirut.
 
Mental case
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom