Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mwamba kang'oka 😁 vinginevyo ajitokeze kwenye press
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba kang'oka 😁 vinginevyo ajitokeze kwenye press
Kwahiyo hii habari karipoti allah akiwa anatafuna bikra zake? 🤣We subiri Mungu wako Israel aripoti ndio uamini
Kwa akili zako timamu tangu russia aanze mashambulizi yake pale ukraine alikuwa anatoa taarifa na bado waukraine wanasurvive uko sawa wewe ? Punguza upunguani basi
Nijibu hivi urusi akitoa amri kuwa wananchi wote wa mji mkuu wa ukrsin waamia mkoa salama maana anaulipua huo mji kwa mabomu wote hadi makazi ya raia wewe unafikili nini ? Mfumo mzima wa maisha na kivita wa ukrain utasambalatika mara moja
Shiboni iko wapi hapo lebanoni ya buza 🤣Ipo Dunia nzima toka huko Shinobi ulipo
Natenyahu hatotoka kwenye mashimo.Kama ni kweli basi Scoreboard itasomeka 7-1
Badala ya 7-0
Wampige hukohuko kama wanawezaNatenyahu hatotoka kwenye mashimo.
Unaibishia hadi habari ya mario nawfal!huyo jamaa ni journalist wa kiyahudi,yuko live now kule x nenda kamcheckKobaz bwana unafikir huyo ni CDF Muhonzo Kainerugaba.
Wakali hawana cha kupoteza zaidi ya kupigania Aridhi yao. Nabahati mbaya hawaogopi kufa.Nadhani lile pigo la kushangaza dhidi ya Iran alilozungumzia bwana Nyau jana ndio hili ambalo amelishuhudia yeye 🤣.
Nanukuu:
Defence Minister Yoav Gallant promised an Israeli strike against Iran will be “lethal, precise and surprising.”
Sahizi wakali hawapoi, ni kipigo tu kutokea kila kona ya dunia😁
Army Chief of Staff sio Mkuu wa Majeshi Shehe. Rudi darasaniTaarifa hii mpaka sasa haijathibitishwa lakini vyanzo mbalimbali vinaripoti kuwa Bwana Harlevi alikuwa ndio target katika chakula cha usiku na askari wa IDF huko katika mji wa Haifa nchini Israel.
Vyombo vya habari vya Israel vinaeleza kuwa Hezbollah walitumia drone ya kisasa ya fiber optic iliyotengenezwa nchini Russia ambayo inakwepa kuonekana na radar pamoja na mitambo ya kiulinzi. Zaidi ya majeruhi na vifo 70 mpaka sasa vimeripotiwa.
Tuendelee kuomba amani hii vita iishe.
View attachment 3124209
Mental caseWashaanza kucheua huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanasema ni mrusi
Observers in Israel:
The drone that penetrated the air defense system and advanced radars was not part of Hezbollah's weapons at all.
It is of Russian manufacture and recently arrived under the cover of Russian humanitarian aid delivered to Beirut.