Ulitaka mpate upenyo wa kummalizia Lisu pole sana Nairobi sio MwaiselaKubakia kwenye sekretarieti haimaanishi yeye ndiyo kiongozi wa sekretarieti! Chadema bhana ndio maana Mbowe kahamia Nairobi kunywa " uji" na mgonjwa maana kina Allen ni wagumu kuelewa!!!
Jpm ameamuru madiwani wa cdm waliohamia ccm waachwe wagombee kupitia ccm!!!!!Nauliza tu maana wakati wa mapokezi ya Lowassa ilibidi kumtoa kafara mgombea urais mtarajiwa Dr Slaa ili kukidhi matakwa ya laigwanan, je pale Mtama itakuwaje nasikia kuna jamaa anaitwa Suleiman ambaye aliwahi kutupwa jela akiitetea Chadema. Je Suleiman atakatwa ili kumpokea Nape?!
Si ndio hapo,yani kuwa watu wanauliza maswali ya kipuuziChama gani kina kataa wana chama wapya kujiunga?
Tulia Ccm iwafie mikononi maana mmelikoroga wenyewe,na hakuna dhambi Nape akihamia cdmNauliza tu maana wakati wa mapokezi ya Lowassa ilibidi kumtoa kafara mgombea urais mtarajiwa Dr Slaa ili kukidhi matakwa ya laigwanan, je pale Mtama itakuwaje nasikia kuna jamaa anaitwa Suleiman ambaye aliwahi kutupwa jela akiitetea Chadema. Je Suleiman atakatwa ili kumpokea Nape?!
Mkuu ccm wameanza kuwewesekaMara paaaaaa.......Tupo tyari kumpokea kwa mikono yote.
CDM hatuna chuki, visasi na tunasamehe na kusahau. Duniani tunapita tu.
Kama Ccm wanavyofanya Biashara ya madiwaniAtapokelewa kwani CHADEMA kuna kitu huwa wanaaacha, hata hivyo vyama vya siasa havipaswi kuwakataa wanachama wenye nia ya kujiunga
Not to that extentHeading nzuri pia inavutia lkn ndani sijaona kikubwa cha kueleweka na kuvutia, ongezea nyama mkuu unalo nzuri la kutwambia
Unataka akili mara ngapi?mzee wa bao la mkono,Edo ni mgonjwa na No TV laivu. hivi vyote inabidi akili hadharani na aombe radhi watanzania wote.
Huyo ni mwana Ccm sawa na lipumbaHivi Dr Slaa akirudi CHADEMA mtampokea