Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.


ALBADIRI @ WORK ?????? 😛😛😛
 
Hilo likitokea Mhe. Nape MN atapata Uhuru na Amani ya nafsi yake..
Unafiki na Uzandiki haulipi..!!
[HASHTAG]#MaishaNiHayahaya[/HASHTAG]..
 
Hakuna kutafutana msaliti ni msaliti tuu na malipo yake ndo hayo,ahamie tuu huko alikokuwa anapeleka habari za chama chetu pendw
 
Mara paaaaaaap,,,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jamani huu uzi kama siyo kweli uondolewe tuu la sivyo thibitisheni. Haiwezekani siku mbili bado ni tetesi
 

unafikiri JK angepanick ule mchakato pale Dodoma ungeisha salama??..
Watu waliimba lakini siuliona alivyoovercome ile pressure kwa kughairisha kikao..
 
Nape hapa karibuni anaonekana kama alikua anapush hili litokee
Yes alikuwa anatafuta sababu ya kutumuliwa,ni dhahiri ana mipango yake
Hapo kwa mwenyekiti anaeona mbali asingemtimua angempa cheo chochote juu kucheza na beat lake, ila kumfukuza naona ndio wamechemka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…