Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Mmh yasemayo yapo kama hayapo yaja.TUNASUBIRIA...WE WAITING
 
Kwani ana kosa gani mkuu na sisi tufahamu, ama kutoa maoni yako ni kosa siku hizi?
Ni ruksa kutoa maoni na litakalowakuta wasianze kulialia kama kilichomkuta zito ufipa Uhuru ulimponza.
 
Mwandishi alieandika hii stori bila shaka atakua staff wa magazeti ya udaku. Heading hai-reflect ulichokieleza, Nappe afukuzwa vs wasifu wake, serious??
 
Chadema tutamsajili. Baada ya kumfanyia ubatizo wa maji mengi kuondoa uchafu aliokuwa nao akiwa ccm
Sijui kama inawezekana maana aliwaita wenzake walioshtuka mapema oil chafu,
sasa yamemkuta ni lazima ajutie maneno yake
la sivyo arudi kinyume nyume aombe msamaha.

Kama oil chafu ikitolewa kwenye gari inaweza kutumika kupaka mbao.
Kama kuna nyingine iliyobaki afu itoke baada ya muda huwa ni tope
haifai kwa lolote.

Kweli ukiwa mwanasiasa kuna haja ya kuwa na maneno
machache,maana kwa siasa zetu huwezi kufanya siasa
bila kuwa na chama.Huyu bwana hata akianzisha chama
kitakuwa kichafu maana naye atakuwa tope
lililoachwa na oil chafu.
 
Kiukweli namkubali sana jamaa. Sijui kwanini[emoji57] [emoji57]
 
Itakuwa vema akihamia ACT kuliko chadema ili kulinda usalama wake zaidi
 
Labda kama mkutano huo umependekeza afukuzwe. Mkutano Mkuu ndo wenye mamlaka ya kumfukuza mwanachama.

Ili kuweka rekodi sawa, waziri wa maliasili na utalii wakati wa 2010 alikuwa Shamsa Mwangunga na siyo Hawa Ng'umbi.
 
Cdm tunakatiba yetu ndg !
 
Kama kweli naona Nape atakuwa amejifunza kuwa usitukane uzazi wakati wakunga wapo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…