Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Bora kapokwa uwaziri amewakumbuka wanyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikao kinaisha lini. Hapo ukweli utajulikanaSio yeye tu aliyefukuzwa,wamo pia wabunge wenzake watatu wa majimbo na wenyeviti wawili wa CCM kutoka kanda ya ziwa.Membe na Kikwete Mkubwa na mdogo, wameponea tundu la sindano. Kinana kasusa.
hakuna cha kujishusha huu ndu upumbafu unaofanya mpaka sasa tz imeoza lazma ukweli usemwe hii nchi ni ya watanzania si ya hili genge la wahuni akiwemo huyu makonde ndaniNape ajishushe! Zama zimebadilika, akivuliwa uawanachama hata akigombea tena watamchakachua.
Yaa, hiyo ndio siasa mkuu ukilijua hilo hutasumbuka wala kushangaa kwa Nape kuhamia upande wa pili kama kweli kafukuzwa.Atapokelewa kwa shangwe na bashasha.
Tena itaitwa press conference ya kummwagia misifa
no safe zoneSafi sana. What goes around comes around. Naomba iwe kweli
Hivi mawaziri nao wanapigiwaga ving'ora!?Wakishatumbuliwa uwaziri wakapishana na vile ving'ora huwa wanatokwa povu matata sana
Hawa ndio alishinda kura za maoni dhidi ya akina nape, ila hakuwa waziri.Hawa Ng'umbi hajawahi kuwa waziri wala hajawahi kushindana na nape, nadhani unamuongelea shamsa mangunga
Hawa Ng'umbi alishindana na Nape kwenye kura za maoni Ubungo,alimshinda Nape nayeye akaaungushwa na Mnyika,alikuwa DC KinondoniHawa Ng'umbi hajawahi kuwa waziri wala hajawahi kushindana na nape, nadhani unamuongelea shamsa mangunga
Bombadier ipi, ile iliyonunuliwa staili ya kununua Noah kutoka yard au ile ilozuiwa kwa kuvunja mkataba na mkandarasi?Unapoisema Bombadia kwa kusudi la "kuisimanga",jiandae kwa lolote.
Ile ndio "kampeni" ya baba mwenye nyumba!!
no safe zone