Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Sio yeye tu aliyefukuzwa,wamo pia wabunge wenzake watatu wa majimbo na wenyeviti wawili wa CCM kutoka kanda ya ziwa.Membe na Kikwete Mkubwa na mdogo, wameponea tundu la sindano. Kinana kasusa.
Kikao kinaisha lini. Hapo ukweli utajulikana
 
Nape ajishushe! Zama zimebadilika, akivuliwa uawanachama hata akigombea tena watamchakachua.
hakuna cha kujishusha huu ndu upumbafu unaofanya mpaka sasa tz imeoza lazma ukweli usemwe hii nchi ni ya watanzania si ya hili genge la wahuni akiwemo huyu makonde ndani
 
Atapokelewa kwa shangwe na bashasha.
Tena itaitwa press conference ya kummwagia misifa
Yaa, hiyo ndio siasa mkuu ukilijua hilo hutasumbuka wala kushangaa kwa Nape kuhamia upande wa pili kama kweli kafukuzwa.
 
Hawa Ng'umbi hajawahi kuwa waziri wala hajawahi kushindana na nape, nadhani unamuongelea shamsa mangunga
 
Hawa Ng'umbi hajawahi kuwa waziri wala hajawahi kushindana na nape, nadhani unamuongelea shamsa mangunga
Hawa ndio alishinda kura za maoni dhidi ya akina nape, ila hakuwa waziri.

Alishindwa na mnyika
 
Nape bila ccm hana ujanja wowote, Ndo kifo chake kisiasa. Na akigombea Tena atapigwa vibaya sana Jimbo lá Mtama.
 
FB_IMG_1506591256161.jpg
 
Hawa Ng'umbi hajawahi kuwa waziri wala hajawahi kushindana na nape, nadhani unamuongelea shamsa mangunga
Hawa Ng'umbi alishindana na Nape kwenye kura za maoni Ubungo,alimshinda Nape nayeye akaaungushwa na Mnyika,alikuwa DC Kinondoni
 
Unapoisema Bombadia kwa kusudi la "kuisimanga",jiandae kwa lolote.
Ile ndio "kampeni" ya baba mwenye nyumba!!
Bombadier ipi, ile iliyonunuliwa staili ya kununua Noah kutoka yard au ile ilozuiwa kwa kuvunja mkataba na mkandarasi?
 
Kwa Nape sioni ajabu amenyanyasa sana wapinzani, wanasiasa ndiyo bwana. Lkn nadhani ni uongo
 
JF ya siku hizi wizi mtupu, haiwezekani mpaka sasa hii habari ni tetesi, haijawa comfirmed mpaka leo. Huu uzi ufutwe tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom