Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Wakuu vp hizi habari za Mh Nape bado ni tetesi au zimeshakuwa confirmed??
 
Hawa Ng'umbi hajawahi kuwa waziri wala hajawahi kushindana na nape, nadhani unamuongelea shamsa mangunga
Hawa Nghumbi alishindana na Nape Nnauye kwenye kura za maoni jimbo la ubungo akamshinda Nape, alipokuja kwenye uchaguzi mkuu Hawa akapigwa chini na Mnyika.
Weka rekodi sawa.
 
Alizunguka kumtukana mzee wa Monduli kumleta asie jaribiwa sasa kama ni kweli jamaa wa magogoni hana muda. Maana NAPE alipambana mno
Kweli kabisa Kati ya watu walojitahid ccm irud madarakan nape no.moja
 
Nahisi hizi habari sio tetezi tena nimeona kwenye group fulani la wanaccm linazungumzia habari hii kwa kirefu sana tusubili tu POLEPOLE aje na manenoyake ya kiswahili
Tupe ubuyu basi[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Kama ni kweli nitafurahi sana..mzee wa bao la mkono..hao ndio cccm kawabeba weee sasa hivi wanamnyea
 
Hilo ndio kosa letu Watanzania.

Katokea mtu ana challenge utawala, mnamshauri akae kimya??

Kuna ubaya gani mtu ukihoji kuhusu rasimali za wengi??

Mnataka aishi maisha ya kinafiki kusifia ambacho anaona sio sawa kwa mtazamo wake??
Kama unajisikia kuwashwa ingia ulingoni,tumeona wangapi au tumeshuhudia wangapi?
Oscar Kambona,Tumtemeke Sanga,Kassim Hanga,Kassanga Tumbo,Choga,Kaneno,Aboud Jumbe,Horice Kolimba,Mama Simba na wengine wengi.
 
MODS KAMA HII HABARI SI YA KWELI BASI NI VIZURI HUYU JAMAA AKAPIGWA BAN MPAKA 2020, ILA KAMA NIYAKWELI W'END HII KWA NIABA YA MTOA POST NITASEREBUKA VYAKUTOSHA PAMOJA NA KUGEGEDA SANA... ADUI MWOMBEE NJAA NA KUMFUKUZA NAPE NDIO NJAA YENYEWE KWA CCM NA NAAMINI HAKUNA MWENYE UBAVU HUO CCM HII
 
Kama unajisikia kuwashwa ingia ulingoni,tumeona wangapi au tumeshuhudia wangapi?
Oscar Kambona,Tumtemeke Sanga,Kassim Hanga,Kassanga Tumbo,Choga,Kaneno,Aboud Jumbe,Horice Kolimba,Mama Simba na wengine wengi.

CCM hiyo unayoisema hainafanani na hii hata kwa 1% , CCM hii haiwezi kuvumilia dhoruba bila kupanic na kuwehuka.. CCM ya JK ilikaa zaidi ya miaka 5 ikivumilia na kupambana na dhoruba za EL na ikapita salama... CCM hii sidhani kama itaziweza dhoruba za EL na vijana wake wa ulipo tupo tena na haya mengine wanayoyachokonoa kila siku..hatariiii
 
Nape bila ccm hana ujanja wowote, Ndo kifo chake kisiasa. Na akigombea Tena atapigwa vibaya sana Jimbo lá Mtama.
Hata hiyo 2015 inadaiwa ni chama kilimbeba huenda alipita kwa goli la mkono..
 
Basi ajiandae kurudi kijiweni
aisee hawez kurudi kijiwe chochote muwe mnajitofautisha nyie wana lumumba mnaokaa kwenye korido na
11988773_1494482810853927_9077632859657319797_n.jpg

na watu kama kina nape waliokaa huko siasani miaka nenda rudi jifunze jifunze
 
Mm nataka hao wanaokula meza kuu na kutukandamiza kila mmoja aje akae aune machungu wananchi tunayoyapata ili waanze kudai haki ambayo wao ndo waliikandamiza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom