Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 323
Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?"
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!