Wengine hawatumii nguvu za giza, bali pesa nyingi wanazoiba wanawahonga washauri wa Rais na maafisa wa ngazi za juu wa TISS wanaofanya vetting.Mawaziri wengi wanatumia nguvu za giza siyo rahisi kuwatoa
...mimi sio VICALUsipomwelewa Mh Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?".
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Usipomwelewa Mh Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?".
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Kina Bashiru na Dotto JamesHata kama litaletwa jamvi bila kuwachukulia hatua wale wezi walioleta hasara taifa haina mana kabisa.
Si ana ugeni sasa mpaka asubuhi hii kweli bado kajifungia!π€Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions
Broo kuitoa fedha ya umma ni ngumu sn ina chain ndefu sn, lakini how zinaibajwe? hiyo invoice mpk inafika kwake CEO/KM/Waziri/TISS/TAKUKURU walikuwa wapi?Kwani amesema kuwa zimelipwa? Anasema walimletea invoice. Inaonekana amekataa kuipitisha.
Basi kuna mtu tu anataka amtoe huko juu ili kuhalalisha rasmi kifo cha shirika.Hayawezi kufanyika malipo makubwa hivyo bila baraza la mawaziri kujua ni uongo wa wazi
Ndio maana JPM walimwita majina yote mabaya...Ni adhabu ya kijinga sana, mtu anaiba mabilioni ya fedha za umma adhabu yake ni kuondolewa kwenye nafasi. Over
Mtaalamu wa mawasiliano unayeandika "naama" badala ya "nahama", umeondoa utamu wote wa njonzi yako.Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?".
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Kwa hiyo unakiri kabisa kuwa nguvu za giza zina nguvu kweli kiasi hicho!!!???Mawaziri wengi wanatumia nguvu za giza siyo rahisi kuwatoa
π€£π€£Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale
Huyu maza tuache utani alifit sn kwenye nafasi ya makamu lakini siyo hii ya Rais inataka roho mgumu haswa, malipo yote yanafanyikia BOT, inakuwaje yeye asijue kama siyo usanii? hakuna wizara zinapiga pesa kama nishati, maji, afya na ujenzi lakini huko yupo kimya sababu ni waislamu wenzakeBasi kuna mtu tu anataka amtoe huko juu ili kuhalalisha rasmi kifo cha shirika.
Maana huyu mama ukiona anampamia mtu ujue ameshapewa maelekezo toka juu.
Huko nishati ambako takukuru wamenusuru billioni zaidi ya 500 mbona hajapiga kelele anakuja kupigia kelele bilioni 50?
Muongo huyu mama. Yawezekana aliwekewa kigingi juu ya kuliua shirika kwa hiyo anataka amtoe mtu kafara ili kuzika rasmi shirika. Ila ayafanyayo leo juu ya taifa hili ajue yataandama kizazi chake chote mpaka akhera.
Ni aibu tupuNdio maana JPM walimwita majina yote mabaya...
"Ukicheka na nyani utavuna mabua"
Mkuu, Ngoja nipate Ukurugenzi kwenye huu mkeka mpya. Hilo suala tutalipambania lieleweke, ajira ziwe temporary na watu walipwe kwa commission, yaani ulipwe kwa matokeo ya kazi uliyofanya. Sio kulipana mishahara ili mradi tu mwisho wa mwezi umefika.Utumishi wanatakiwa ajira zisiwe za kudumu, hilo ndo suluhisho watu kazi zitangazwe na mikataba husika, ukishindwa unapigwa pembeni