johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Duniani ni mahali pa Shetani!Kwa hiyo unakiri kabisa kuwa nguvu za giza zina nguvu kweli kiasi hicho!!!???
Basi tupishwe sisi tunaoamini katika nguvu ya Mungu na Yesu Kristo tuongoze bila hofu ya kuzidiwa kete na nguvu hizo za giza.
Hamduni atawakusanya kwa kuigiza wanaingia mlamgo wa mbele wanatokea wa nyuma Wizi Tanzania uko kwenye DNA ya watumishi wa serikali ni moja sifa ya kupata kazi serikaliniUsipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?".
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Mhhh! Kwahiyo na sisi ni mashetani wadogo?Duniani ni mahali pa Shetani!
Wizara ya Nishati -Tanesco siyo maji kipimo chake hivyo anaishia kukunja gauni kisha analishusha na kuendelea na ya kiwango chake , wale jamaa wa uKanda wa pwani washamtia Kwa chungu Maza.Basi kuna mtu tu anataka amtoe huko juu ili kuhalalisha rasmi kifo cha shirika.
Maana huyu mama ukiona anampamia mtu ujue ameshapewa maelekezo toka juu.
Huko nishati ambako takukuru wamenusuru billioni zaidi ya 500 mbona hajapiga kelele anakuja kupigia kelele bilioni 50?
Muongo huyu mama. Yawezekana aliwekewa kigingi juu ya kuliua shirika kwa hiyo anataka amtoe mtu kafara ili kuzika rasmi shirika. Ila ayafanyayo leo juu ya taifa hili ajue yataandama kizazi chake chote mpaka akhera.
Ulitaka awaue?Mikeka ndio recycling ya takataka zile zile zisizo na tija, mijtu imetusua mnasema tukae kitako????!!!
Anachekecha wezi wa fedha za umma halafu anawahamishia vituo vipya vya kazi maana yake nini sasa. Ni sawa na kuhamisha panya wanaokula mahindi kutoka chumbani kwenda stoo yenye mahindi hayo hayo.Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?".
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Kwenye hotuma zake nyingi zinazohusu ufisadi ukisikia akisema; ''Na hili nalo mkaliangalie'' Ujue imeisha hiyo.Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?"
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Ukiachana na hili la ndege, kwenye vishkwambi vya sensa yamepigwa mabilioni kutokana na alichosema CAG. Vipi nao hao?Kwani amesema kuwa zimelipwa? Anasema walimletea invoice. Inaonekana amekataa kuipitisha.
Sijui Kama unaelewa kilichotokeaDu! Cha muhimu ndege ije.Sababu aliye order kaondoka zake, hapo vipi makamu wa rais aliyekuwa waziri wa fedha atapona?
Toa location tuje na mikwaju.........
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Msoga Gang mlilalamika vyuma vmekaza Sasa Asali imemwagwa nyingiUsipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?"
Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa anamwambia Takukuru fanya bila hofu yoyote.
Kauli za Mh RAIS za jana kwa sisi tuliosoma Mawasiliano zilikuwa na ukakasi mkubwa"mtupishe".Sijawahi kumuona Mama akiwa kwenye mood mbaya kama jana!
Baada ya kufunga kipindi jana na CAG,nasikia moja kwa moja alijifungia sehemu pekee yake na mpaka leo asubuhi hajatoka kwenye hiyo room!My predictions.
I. Weekend Hii tutegemee mtikisiko mkubwa katika maeneo ambayo CAG ameyagusa,ile mtupishe sio ya bule bule,tusubilie.
II. Tutegemee mkeka mzito kwenye kule alikuita "Poli la Halmashauri" weekend hii hii.
IIi. Tusishangae Kamanda Hamduni weekend hii akianza kukusanya wateja wake waliotajwa kwenye Madudu yale!
Wikiend hii ikipita Mama hajafanya kitu, Naama Nchi!Nipo paleee!
Duniani ni mahali pa wana wa Mungu.Duniani ni mahali pa Shetani!