Inasemekana Rais kajifungia usiku mzima akichekecha wapigaji. Tutarajie mkeka wakati wowote kuanzia leo

madiwani wanapatikana kwa rushwa, wabunge wanapatikana kwa rushwa, mawaziri wanapatikana kwa ushirikina, rais akianza kuteua anatafuta kwanza washikaji zake na makada wa chama chake walioshindwa udiwani na ubunge.....kisha tutegemee maajabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…