Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Kama wataniondoa kwenye kabila poa tu:
Ni kitu ambacho naogopa kukisema hapa, ni siri kubwa sana kwenye misiba, ile tunaendaga kuzika home.
Wachaga hukamua viuchafu fulani na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila inasemekana laana ya kifo itakuwa imegawanywa kwa watu wengiii na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kindezi tena. Ni mahesabu tu, sawa na una mkate mmoja watu wengi wakaja kuumega unabaki kidogo.
Kwa Mchaga wa kweli, anayemhofu Mungu, hili huwa hawezi kulitamka, ila utamsikia tu anasema mimi sitaki mila na hata akienda huko anakwepa kushiriki haya na mengine mengi ya kimaagano yapo, tutayafichua.