Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Acha upumbavu. Kama huna cha kusema tuliza fuvu!WE
ELEWA HIVO KAMA UNATAKA KUFA KABLA YA WAKATI WAKO KULA HUJAKATAZWA MKUU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha upumbavu. Kama huna cha kusema tuliza fuvu!WE
ELEWA HIVO KAMA UNATAKA KUFA KABLA YA WAKATI WAKO KULA HUJAKATAZWA MKUU
Hahaha Si muache kuwalisha..Ni ujinga kuamini Kila ukisomacho na kukiona mtandaoni.
Sidhani kama alisema wote.....ila wapo wenye hizo mamboMwanzo umesema umeshuhudia. Sasa unadai Wachagga wamethibitisha. Hao Wachagga ni wa sehemu gani?
Ulijuaje ni Wachagga?
Mimi kama kaka mtu niliongoza matibabu ya mdogo wangu, hata alivyofariki nikaupeleka mwili mochwari, nikasimamia msafara wa kwenda Moshi, na kumpumzisha.
Hakuna mtu alikuwa anaruhusiwa kufanya jambo bila Mimi kuwepo, na hata kule kwenye kuoshwa, baada ya kuoshwa niliitwa nikaenda kumvisha nguo kuanzia boxer hadi shati, suruali na viatu.
Kule Moshi tulikaa mbele ya jeneza lake Hadi anaingizwa kaburini mchana wa siku tuliyofika Moshi.
Hakuna mahali ambapo marehemu alikamuliwa na ama uchafu kutolewa.
Kungekuwa na hiyo Mila basi ni lazima ingefanyika na ningekuwa ninaijua.
Akina nani sasa mbona hamsemi ni wapi na ni ukoo upi?Sidhani kama alisema wote.....ila wapo wenye hizo mambo
Wewe mwenyewe unaitwa urassa ndio wale waleChaiii ya Motoo inachemkaaa usiunguze tu ulimi bablai😅😅🤣🤣
Sidhani kama alisema wote.....ila wapo wenye hizo mamb
Shukrani mkuu kwa kunisaidia hawa jamaa wamepanic kisa tu tunaweka ukweli hadharaniSidhani kama alisema wote.....ila wapo wenye hizo mambo
we kihere here cha nini mkuu isijekuwa ukoo wenu ndio wahusika wa hayaAkina nani sasa mbona hamsemi ni wapi na ni ukoo upi?
mkienda livu mwisho wa mwaka mpige vita mila hii chafu kAkina nani sasa mbona hamsemi ni wapi na ni ukoo upi?
Acha unafikimkienda livu mwisho wa mwaka mpige vita mila hii chafu k
ama mlivyopinga ukeketaji kwa bint zenu uone kama
tutawasema tena, ila mkiendelea nayo lazima tutapiga kelele
sababu mnatuumiza watoto wa wenzenu
Umeleta taarifa kwamba Wachagga wanakula vitu vya maiti.we kihere here cha nini mkuu isijekuwa ukoo wenu ndio wahusika wa haya
Kikubwa ujumbe umefika kwa wahusikaUmeleta taarifa kwamba Wachagga wanakula vitu vya maiti.
Nimekubana na maswali ukadai ni Wachagga wenyewe walisema.
Nilipokuuliza ni wa wapi, ukadai ni baadhi ya koo.
Nikauliza ni koo zipi, unajibu niache kiherehere!
Hivi una akili kweli wewe kishoiya?
na pia tumeshaujua uchafu wao na roho zao mbaya za kutaka kutuangamiza sote na waoKikubwa ujumbe umefika kwa wahusika
Umesahau kuweka kiyesi cha ng'ombe katikati ya mishikaki ili kuongeza utamu😂Unaweza kutaja Kijiji, Kata, tarafa na wilaya uliyoyaona haya?
Umeandika upuuzi mkubwa sana.
Nimewahi kuhusika kupeleka miili ya Wachagga mochwari.
Sikuwahi kufanya, kusikia, au kuona upuuzi wa kula maiti.
Hapo zamani, kutokana na umasikini, marehemu walikuwa wanakamuliwa Ili wasioze na hii ni miaka ya 90 kati kurudi nyuma. Na uchafu ulitupwa na siyo vinginevyo.
Ingekuwa marehemu analiwa basi na Mimi ningelishwa maana nimezaliwa na wazazi Wachagga na nimeishi huko Kwa miaka 20+.
Uchaggani Kuna Mila ya kupika damu ya mbuzi, kondoo na ng' ombe. Huchanganywa na supu na ni maarufu kama kisusio. Nimewahi kunywa japo nilisha acha.
Punguza kuandika ujinga. Utakugharimu siku moja!
Hizo nywele zinapelekwa wapi, wachanga hacheni kuwanga msibaniNnachojuwa kuna kunyolewa tu
Moja ya uzi za hovyo jfHii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.
Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.
Hapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Hizo ni Mila za kipaganiKifupi ibada za wafu kama Tatu,Arobaini,kurehem waliokufa ni kukiiita kifo Kwa waliohai!!
Sio vizuri ku entatain haya mambo!