Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Inasemekana Wachaga hupunguza laana au mikosi kwa kuigawa kwa wahudhuriaji kwenye misiba

Mwanzo umesema umeshuhudia. Sasa unadai Wachagga wamethibitisha. Hao Wachagga ni wa sehemu gani?

Ulijuaje ni Wachagga?

Mimi kama kaka mtu niliongoza matibabu ya mdogo wangu, hata alivyofariki nikaupeleka mwili mochwari, nikasimamia msafara wa kwenda Moshi, na kumpumzisha.

Hakuna mtu alikuwa anaruhusiwa kufanya jambo bila Mimi kuwepo, na hata kule kwenye kuoshwa, baada ya kuoshwa niliitwa nikaenda kumvisha nguo kuanzia boxer hadi shati, suruali na viatu.

Kule Moshi tulikaa mbele ya jeneza lake Hadi anaingizwa kaburini mchana wa siku tuliyofika Moshi.

Hakuna mahali ambapo marehemu alikamuliwa na ama uchafu kutolewa.

Kungekuwa na hiyo Mila basi ni lazima ingefanyika na ningekuwa ninaijua.
Sidhani kama alisema wote.....ila wapo wenye hizo mambo
 
Akina nani sasa mbona hamsemi ni wapi na ni ukoo upi?
mkienda livu mwisho wa mwaka mpige vita mila hii chafu k
ama mlivyopinga ukeketaji kwa bint zenu uone kama
tutawasema tena, ila mkiendelea nayo lazima tutapiga kelele
sababu mnatuumiza watoto wa wenzenu
 
mkienda livu mwisho wa mwaka mpige vita mila hii chafu k
ama mlivyopinga ukeketaji kwa bint zenu uone kama
tutawasema tena, ila mkiendelea nayo lazima tutapiga kelele
sababu mnatuumiza watoto wa wenzenu
Acha unafiki
 
we kihere here cha nini mkuu isijekuwa ukoo wenu ndio wahusika wa haya
Umeleta taarifa kwamba Wachagga wanakula vitu vya maiti.

Nimekubana na maswali ukadai ni Wachagga wenyewe walisema.

Nilipokuuliza ni wa wapi, ukadai ni baadhi ya koo.

Nikauliza ni koo zipi, unajibu niache kiherehere!

Hivi una akili kweli wewe kishoiya?
 
Umeleta taarifa kwamba Wachagga wanakula vitu vya maiti.

Nimekubana na maswali ukadai ni Wachagga wenyewe walisema.

Nilipokuuliza ni wa wapi, ukadai ni baadhi ya koo.

Nikauliza ni koo zipi, unajibu niache kiherehere!

Hivi una akili kweli wewe kishoiya?
Kikubwa ujumbe umefika kwa wahusika
 
Week hii tuliwasema Sana staff wa JF kuhusu kuftwa AU Ku edit posts zetu

@ moderator wanatupima uvumilivu wa wana JF members,

SS kila Uzi usio mpendeza MTU AU watu fulani ufutwe itakuwaje hapa JF ?,

ALichokisema mleta Mada kina ukweli na pengine sio wachanga tu bali kuna Kabila nyingi zilizokuwa zinafanya ,now wameelimika wameacha AU kupunguza kabisa mila potofu.
 
Unaweza kutaja Kijiji, Kata, tarafa na wilaya uliyoyaona haya?

Umeandika upuuzi mkubwa sana.

Nimewahi kuhusika kupeleka miili ya Wachagga mochwari.

Sikuwahi kufanya, kusikia, au kuona upuuzi wa kula maiti.

Hapo zamani, kutokana na umasikini, marehemu walikuwa wanakamuliwa Ili wasioze na hii ni miaka ya 90 kati kurudi nyuma. Na uchafu ulitupwa na siyo vinginevyo.

Ingekuwa marehemu analiwa basi na Mimi ningelishwa maana nimezaliwa na wazazi Wachagga na nimeishi huko Kwa miaka 20+.

Uchaggani Kuna Mila ya kupika damu ya mbuzi, kondoo na ng' ombe. Huchanganywa na supu na ni maarufu kama kisusio. Nimewahi kunywa japo nilisha acha.

Punguza kuandika ujinga. Utakugharimu siku moja!
Umesahau kuweka kiyesi cha ng'ombe katikati ya mishikaki ili kuongeza utamu😂
 
Hii ni siri kubwa sana kwenye misiba ya wachaga , huwa ile wanaendaga kuzika home, wachaga huwaga wanaamua kwa siri kukamua baadhi ya viuchafu fulani hivi kutoka kwa yule maiti na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila msibani inasemekana kama ukoo una laana ya kifo basi itakuwa imeshagawanywa kwa watu wengiii wa koo na makabila meengi na kama imegawanya kwa maelfu basi kwenye familia ile itakuwa imepunguzwa sana hivyo hawatakuwa wanakufa kizembe zembe !! tena.

Yaani hapa maana yake wanai-dilute ile laana ya kifo au wanai-stretch ili ikose nguvu.

Hapa nakubaliana nao kabisa ndio maana utakuta wale wanaopenda kuhudhuria misiba na kula sana huko hawachukui muda na wao safari inawakuta hapa tatizo kumbe ni ile share ya mauti waliyokula sasa kama ulikuwa na miaka michache uliyoandikiwa basi utakuta ukila kwenye misiba kumi tu ya kichaga na we safari twende kwa pilato.
Moja ya uzi za hovyo jf
 
Back
Top Bottom