Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
I salute you kinsmen
Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao.
Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa
1️⃣Balla mussa Conte
2️⃣Lassine kouma
Hawa jamaa inasemekana starehe ndio inawarudisha nyuma na dharau sana
Conte anajua hata akiondoka sasa ana ka ofa kutoka kule arabuni alikokuwa Tunisia ndio maana analeta jeuri na kiburi
Mvivu mazoezini na hajitumi pia starehe za Dar zimemuingia vizuri
Yeye na kouma wamekuwa marafiki wakubwa wote wana interest moja
Kouma yeye tangu zile tetesi za Team kutoka France ilimpotaka na baadae kughairi ndipo akaja yanga sasa amepunguza speed aliyokuja nayo na ameanza kurelax sana
Yeye na Conte wana kamgomo ka chini chini sana kwa mara nyingi wanajitenga zao na pia mazoezini hawaonyeshi kitu ndio maana hata hawapangwi tena
Kouma anapewa dakika chache sana hata sheikan Ibrahim anamshinda mbali tu huyu kijana
Nyote mashahidi kouma alianza vizuri sana mechi zile za pre season ila sasa amekuwa mzigo na hata bro wake Diara ameamua kumuacha tu avune alichopanda.
Conte
Kouma
Pacome
Hawa ni wapenda bata wakubwa lakini mwenzao pacome anafanya sana mazoezi na ana personal trainer wake yule jamaa maarufu tu, kwahiyo pacome anajua muda wa kazi na wa bata na yeye ndio aliyemuingizq Yao kwenye bata hizo..
Ingawa nimeskia kw sasa wachezaji wapo kambini na wengine wamepewa ka likizo kafupi ambao hawana national team call up hili sio jambo zuri viongozi wawe wakali otherwise wachezaji wanaenda kula bata tu mwanzo mwisho..
Sasa tunaelewa kwanini Conte hapangwi sana, ameshuka kiwango
🚫 Folz hakumtumia sana
🚫 Mabedi hakumtumia
🚫 Na sasa Pedro hampangi kabisa.
Basi sababu ndio hizo Hawa wachezaji wawili wenye vipaji sasa dar imewakamata hasa..
Uongozi kama mnaona Conte haonyeshi ushirikiano sana fanyeni kama mlivyofanya kwa kina Bangala na wenzie ..