Tetesi: Inasemekana Wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kusisimua mwili uongozi utoe tamko au upuuzie?

Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya

Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.

Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya mechi,mchezaji anakula bila kujua

Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba na kolo Toure

Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,

hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
Hapa ni Chama nae akiwa katika harakati za kuongeza nguvu kwa kutumia madawa.
 
Attachments

  • TIZI_LA_MWAMBA_WA_LUSAKA_CLATOUS_CHAMA_NA_DENZEL_TRAINER🔥🔥(360p).mp4
    5.1 MB
Kwani we haya huyawezi,mbina gata vitalO wanafanya hivi,hata Umisseta tuliyafanyaga
Sasa haya ndiyo niliyoweza kuyashuhudia mimi nikaonesha uthibitisho kuwa wanaongeza kupitia hayo. Sasa nawewe njoo na video yako ikiwaonesha hao wachezaji wakitumia madawa. Ukishindwa basi utakuwa binti mbea kama wale wanaofitinisha ndoa za watu. Umbea sio dili dada tafuta shughuli za kufanya, umetoka kwa Mwinyi Zahera saivi umeamia kwa wanaume wengine waliopo Yanga.
 
Hivi haya yote ni sababu tu ya mziki wa Yanga?

Kwanini makolo hamuishiwi sababu na pafomensi ya Yanga? Ni lini midomo yenu itakiri Yanga ni wazuri?

Yaani kila siku ni kutafuta sababu tu ili kujipa moyo. Sasa hivi la GSM kudhamini timu 6 limekatwa ngebe na Rage mmeibukia huku
Simba haina wanachama kama wapo waje hapa, hahahaa
 
Simba iliwahi kuambiwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya wapinzani,ikapuuzia kashfa ikafa kimya kimya

Sasa kuna kashfa moja huko mitandaoni kuwa wachezaji wa Yanga wanatumia dawa za kuongeza nguvu.

Siku CAF wakiamua kuwapima wachezaji ikionekana ni kweli tumekwisha. Kuna timu huwa zinafanya umafia kwa kuchanganya hizi dawa kwenye msosi saa chache kabla ya mechi,mchezaji anakula bila kujua

Kuna wengine wanatumia makusudi mfano Pogba na kolo Toure

Pogba ndio ameshaumaliza mwendo ghafla,

hachomoki,na ameshaanza kufirisika,jumba lake la kifahari analiuza
MAKOLO wanalalamika na kulia kuwa Wachezaji wa Yanga wanatumia Viagra na Mkongo kwa jinsi wanavyowapelekea moto

Maaskini MAKOLO
 
Sasa haya ndiyo niliyoweza kuyashuhudia mimi nikaonesha uthibitisho kuwa wanaongeza kupitia hayo. Sasa nawewe njoo na video yako ikiwaonesha hao wachezaji wakitumia madawa. Ukishindwa basi utakuwa binti mbea kama wale wanaofitinisha ndoa za watu. Umbea sio dili dada tafuta shughuli za kufanya, umetoka kwa Mwinyi Zahera saivi umeamia kwa wanaume wengine waliopo Yanga.
Sio mimi ni huko mitandaoni
 
Mda sio mrefu tutaona hadi mzee chama atakua na mbio zaidi ya mrisho ngasa
1722608190360.jpg
 
Back
Top Bottom