Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu.

Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
Sidhani kama hiyo mbinu inaweza ikawasaidia zaidi ya kuwadidimiza zaidi.

Isipokuwa tu wakumbuke kwamba "When injustice becomes law resistance becomes duty."

Thomas Jefferson.
 
AMANI YA HII NCHI NI MUHIMU KULIKO KITU CHOCHOTE

tuvipishe vyombo husika vifanye kazi yake kusafisha na kuweka utulivu nchini kama ilivyo ada
 
Back
Top Bottom