Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

Mim nitaoa mwanamke mwenye miaka 30 Kwenda juu chini ya hapo hapana.mim pamoja nakua sjafka umri huo toka nimeanza kutoka na wanawake umri huo nimechange sana kwanza mwanamke akiwa na umri huo anawaza sana kesho,hawana mambo ya kitoto,wengi wao wanawaza kesho sana,afu ni washauri wazuri sana Kweny masuala ya uchumi.yani kiufupi wengi at least wanakua tayari mature.tofauti na miaki 20
 
Kila la kheri mkuu...
 
Mapenzi Yana rangi nyingi...

Pwani watu wanaoa mwanamke mjane wa mpaka vyuo vitatu .. na watoto zaidi ya wa tano.
Hapo yeye mama Ana 52 yrs...na mwanamme Ana 32 tu..
Na wanadumu vizuri tu.

Hiyo kuweka limit ..ndio mnaowa maparu yanawaparura .... Na mmeleta Sana ..single mother.
Kisha nao hamwataki..

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajamvi,

Kuna huu msemo umezidi kushamiri katika maeneo mengi tofauti! Ni kuhusiana na kushushwa thamani ya kuwepo katika ndoa kwa wanawake aina ya thate plus!
Tafuta pesa badala ya kukaa vijiweni na kuteta wanawake,wewe mama yako ana umri gani?Mzee wako akifa ghafla,unataka tusimtongoze mama yako aishi mjane mpaka kifo?
Hakuna mwanamke mbaya,tatizo siku hizi waanaume(1984 kuja juu),hawajielewi!we tafuta mkwanja mwanamke atakupigia magoti tu.
Huna pesa,hujishughulishi lakini unataka ueshimiwe!!
 
Jamani mua ni mtamu zile sehemu zilizokula umri yanii kule chini...ni kama wa wanawake ukikutana na mutured mamaa kama FaizaFoxy akakupa moyo wake nawewe ukaampa wako wote habari za kufa kwa stress za vidada utasikia kwa tabloid media's 😄😄😄
 
Mwanamke aliefika miaka 30 na hajaolewa huyo ni mjane hata Kama hajafiwa na mume miaka yote hiyo watu wanaiburuza na hawajaona ikifaa kuwekwa ndani we unaenda kujibebesha msala
 
Back
Top Bottom