Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

😄😄 Nawapenda sana mama zangu wale, wala hawana noma na mie. Wana furaha na mie si unajua tena mie mtu wao. Huu ushauri acha niuchukue
Sijui nikwambie je unielewe?
Wanawake wanapenda heshima sana mkuu na watajivunia wewe.

Lakini wakikuona wewe zoa zoa labda wale malaya ndio watakuvulia ili wapate pesa.
Lakini mwanamke anayejitunza na mwenye akili zake nakuapia humvui kijinga.
Hii tena sio masihara bali nimekupa ushauri wa maana.
Ukiwa na udhaifu wa kula hovyo hovyo jitahidi wasijuane mkuu.
Wanawake wakiamua wana hila balaa.

Lakini sikuzuii unaweza kuwala utakavyo tena inaweza kuwa hata live dunia ikuone bwana hii ni dunia huru😂😂😂
 
Sijui nikwambie je unielewe?
Wanawake wanaoenda heshima sana mkuu na watajivunia wewe.

Lakini wakikuina wewe zoa zoa labda wale malaya ndio watakuvulia ili wapate pesa.
Lakini mwanamke anayejitunza na mwenye akili zake nakuapia humvuai kijinga.
Hii tena sio masihara bali nimekupa ushauri wa maana.
Ukiwa na udhaifu wa kula hovyo hovyo jitahidi wasijuane mkuu.
Wanawake wakiamua wana hila balaa.

Lakini sikuzuii unaweza kuwala utakavyo tena inaweza kuwa hata live dunia ikuone bwana hii ni dunia huru😂😂😂
Nakuelewa vizuri sana mkuu. Na kila unacho elezea upo sahihi 100%.

Wale wananielewa mtu wao, kuna ambao wanachukulia serious na kuna ambao wanajua nje ya hapo sina mikato ya ulaji wa ovyo pale kama ka movie..

in reality hakuna kitu kama hicho.. alafu sijawai kula hata manzi moja JF 🤠🤠🤠🤠

na anaechukulia serious anaweza asiamini
 
Siwezi kukubishia but unajitengenezea mazingira sio mazuri yanaweza kukucost mbeleni.
Jitahidi uitengeneze kesho bora leo kijana wangu😂
 
Mbonavwewe unakula live😂😂😂😂
😄😄😄 😄😄😄 yule mshikaji tu, alikuwa kaenda kwa ajiri ya semina, na mie nilikuwa kikazi bahati mbaya mwanzo tukawa tume post picha bila kujua.. kama wote tupo eneo moja.. ila hakuna kitu pale tunachangamsha story ziende masaa yaendee . Skatika vitu ambavyo siwezi ku date na mtu kutoka mtandaoni
 
Mimi nimemtaja mtu?
 
Siwezi kukubishia but unajitengenezea mazingira sio mazuri yanaweza kukucost mbeleni.
Jitahidi uitengeneze kesho bora leo kijana wangu😂
Ndio mkuu nakuelewa point yako na unacho eleza nakielewa vizuri. Na ni kizuri kwa real man yoyote kukiishi.

Wapo wanao nifahamu nje ya pale na hata wale ambao natania nao, wananifahamu vizuri. Ndio maana nipo selected na ninao fanya nao utani sio kila mtu. Ushauri wako kwa mtu ambae kama ni kweli anaishi vile 100% . Upo sahihi kabisa.
 
Mimi nimemtaja mtu?
Hujata mtu ila nimeweka mazingira ya kuwa masiahara kwa vyote vinavyo endelea pale au unavyo ona. Na uzuri hata wana respond ule utani kwasababu wananijua sio kweli na wanajua sio mtu wa namna hiyo. Wanajua huyu utani na ndio maana unaona vile. Hakuna mwanamke ambae anaweza jishushia heshima pale kwa kuonekana cheap pale.. na ndio maana nimekuambia wananijua mtu wao
 
Iko hivi;
Si kila mtu ukitoka naye hotelini/ lodge mmetoka kulana but sio kila mtu atakuelewa.

So jitahidi kufanya hivyo mazingira ambayo jamii inayokuona haikufahamu.

Unaweza kusema kila mtu aishi maisha yake tusifuatilane na sijali.
But niamini one day yatakugharimu sana
Tena mazingira ambayo yangekutoa kimaisha lakini ukakosa trust ya jamii husika au hata mpenzi wako hasa yule wa kufa na kupona.

Nikupe ushuhuda..nilimwazima gari rafiki yangu wa kike gari ampeleke mamake hospital.
Njiani akakamatwa na traffic police akanipigia.
Traffic alikuwa ni wa kike...nikamwambia huyo ni wifi yako[emoji23][emoji23] achana naye.

Mmh sasa siku nyingine nadrive mwenyewe niko sasa na mhusika mwenyewe haswa..[emoji23][emoji23]umenisoma.

Yule traffic akaona gari kanisimamisha mimi sasa.
Si akaanza kuropoka oooh nilimwona wifi bhana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Unakifaa sana...yaani hata hakujiongeza aone kuwa niko na mtu garini na hajui ni nani wangu yeye anaropoka tu.

Baada ya hapo huo moto sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

King kijana wangu tahadhari muhimu mkuu utalia bure kumbe hata hukufaidi ilikuwa utani tu.
 
Hujata mtu ila nimeweka mazingira ya kuwa masiahara kwa vyote vinavyo endelea pale au unavyo ona. Na uzuri hata wana respond ule utani kwasababu wananijua sio kweli na wanajua sio mtu wa namna hiyo. Wanajua huyu utani na ndio maana unaona vile. Hakuna mwanamke ambae anaweza jishushia heshima pale kwa kuonekana cheap pale.. na ndio maana nimekuambia wananijua mtu wao
Usirudie mkuu plz
 
Iko hivi;
Si kila mtu ukitoka naye hotelini/ lodge mmetoka kulana but sio kila mtu atakuelewa.

So jitahidi kufanya hivyo mazingira ambayo jamii inayokuona haikufahamu.

Unaweza kusema kila mtu aishi maisha yake tusifuatilane na sijali.
But niamini one day yatakugharimu sana
Tena mazingira ambayo yangekutoa kimaisha lakini ukakosa trust ya jamii husika au hata mpenzi wako hasa yule wa kufa na kupona.

Nikupe ushuhuda..nilimwazima gari rafiki yangu wa kike gari ampeleke msmake hospital.
Njiani akakamatwa na trafficvpolice akanipigia.
Traffic alikuwa ni ke...nikamwambia huyo ni wifi yako[emoji23][emoji23] achana naye.

Mmh sasa siku nyingine nadrive mwenyewe niko sasa na mmhh..[emoji23][emoji23]umenisoma.

Yule traffic akaona gari kanisimamisha mimi sasa.
Si akaanza kuropoka oooh nilimwona wifi bhana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Unakifaa sana...yaani hata hakujiongeza aone kuwa niko na mtu garini na hajui ni nani wangu yeye anaropoka tu.

Baada ya hapo huo moto sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

King kijana wangu tahadhari muhimu mkuu utalia bure kumbe hata hukufaidi iliiuwa utani tu.

Mie unacho eleza sijakipinga, na nina kuelewa. Na ndio maana nimesema kwa mtu yoyote ina mpasa kuishi hivyo.

Kukumbushana sio mbaya au kuelezana sio mbaya . Hatuko na ukamilifu na kuna kuteleza mahala.

Point yangu ni hii tunafahamiana nao, ninae taniana nae ana ABC zangu. Na woote wala hakuna hata mmoja ambae ameisha kula sound . Taadhari yako muhimu, ila hilo nipo nalo makini sana.
 
Tumeongea kiume...nikutakie usiku mwema...kama nimekukera nisamehe au nichane yaishe👍👍👍👍
 
Udirudie mkuu plz
Kutokana na unacho elezea nimeweka katika namna nyepesi ya kueleweka . Na hakuna siri hapa na hata kama wataona wanajua , na unachoe elezea pia ni sahihi nao wanajua ni sahihi. Ushauri wako ni mzuri . Hakuna shida
 
Mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea hana njia yoyote ya kumshawishi mwanaume kuwa hana mtoto hata kama hana kweli! Maake kisayansi imebainika kuwa wanawake miaka 26 huwa na matamanio ya hali ya juu ya kumiliki mtoto!
Wewe TAFUTA HELA ukalale na kina aina za kina Kajala ule kuku na mayai yake....
Acha kukariri maisha......
 
Tumeongea kiume...nikutakie usiku mwema...kama nimekukera nisamehe au nichane yaishe👍👍👍👍
Hapana mkuu. Upo sahihi na nimependa umekuwa mkweli na ndio inavyotakiwa kwenye maisha ya kila siku unapo ona sehemu pana shida . Nimependa uwazi wako, hakuna mahala umenikwaza hakuna mahala ulipo nikosea.

Labda ambacho naweka sawa, wananijua mtu wao, kwa mtu asie nijua ndio anaweza pata shida na mimi..
 
Back
Top Bottom