Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

Ikumbukwe watu hawabadiliki tabia, tabia alikua nazo ila kukosea kuchakata tabia yake ndipo tunaona mtu kabadilika.

Na ndio chanzo cha kukosea kuchagua. Jua kwa nini uoe au kuolewa itakusadia kufanya uchaguzi.
Ikiwa ni muumini wa uumbaji wa Adam na Hawa, kama eva ni zao la mfupa wa adamu na kisayansi mfupa hutumika kupima makadirio ya umri wa kiumbe maana yake adam na eva wana umri sawa, utofauti ni utashi.
Mkiendana na kuelewana:
1. Tabia
2. Hisia
3. Kusudi
4. Mtazamo
Mtafurahiana.
 
Kila mtu na chaguo lake we pambana tu na hali yako mengine yaache.
 
Aaah nilijua tunaongea siri kumbe watuchora?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa siri gan sasa? Mbna wanaonesha wazi wazi ili jamii ya forum ujue, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna wengine hata huwazi au kutegemea, unakuta yuko ndani ya kapu. Khaaaaah
 
Ulivyomalizia ni dongo la mtu, nimekusoma haha
 
Suluhisho ni hili hapa period.
 
Attachments

  • FB_IMG_16561576418101246.jpg
    FB_IMG_16561576418101246.jpg
    30.4 KB · Views: 11
Back
Top Bottom