Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

Loading................

Nimejitahidi kupitia komenti kwa haraka haraka nimecheka kidogo kwa tumisemo fulani fulani.

Mimi binafsi siwezi kuoa 20s, ni umri ambao mwanamke yuko katika hali ya kujifunza. Ni umri ambao anapaswa awe chuo na hata kama hayupo chuoni huko huko mtaani hajayajua maiaha vizuri. Sidhani kama kweli anaweza akawa mke bora.

Enyi 30 plus, msihudhunishwe na hoja zilizotolewa na vijana waliotoka chuo mimi nawapenda sana ni watamu, mnajua ku- handle kuanzia kitandani mpaka mambo yote yahusuyo familia. Na hiyo mbususu hata kama ilianza kutumika kuanzia ukiwa 14 to nearly 30 ukaamua kutulia na mimi, hubadilika na kuwa na ubora wake ndivyo maumbile yenu yalivyo unless uwe hukujaaliwa umbile zuri.(Basket)

Naomba muondoe shaka, nakuja kuwaoa wote.
 
Back
Top Bottom