Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
😂😂😂😂😂Iko hivi;
Si kila mtu ukitoka naye hotelini/ lodge mmetoka kulana but sio kila mtu atakuelewa.
So jitahidi kufanya hivyo mazingira ambayo jamii inayokuona haikufahamu.
Unaweza kusema kila mtu aishi maisha yake tusifuatilane na sijali.
But niamini one day yatakugharimu sana
Tena mazingira ambayo yangekutoa kimaisha lakini ukakosa trust ya jamii husika au hata mpenzi wako hasa yule wa kufa na kupona.
Nikupe ushuhuda..nilimwazima gari rafiki yangu wa kike gari ampeleke mamake hospital.
Njiani akakamatwa na traffic police akanipigia.
Traffic alikuwa ni wa kike...nikamwambia huyo ni wifi yako[emoji23][emoji23] achana naye.
Mmh sasa siku nyingine nadrive mwenyewe niko sasa na mhusika mwenyewe haswa..[emoji23][emoji23]umenisoma.
Yule traffic akaona gari kanisimamisha mimi sasa.
Si akaanza kuropoka oooh nilimwona wifi bhana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Unakifaa sana...yaani hata hakujiongeza aone kuwa niko na mtu garini na hajui ni nani wangu yeye anaropoka tu.
Baada ya hapo huo moto sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
King kijana wangu tahadhari muhimu mkuu utalia bure kumbe hata hukufaidi ilikuwa utani tu.
Brooooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kama nakuona vile