Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Leo hii bei ya nafaka kama mchele na unga imepaa maradufu kabla ya ya huyu mkuu wa nchi kuingia madarakani.
Kabla ya kuingia madarakani mchele ulikuwa ukiuzwa sh 1200 kwa kilo . Sasa hivi Mchele unauzwa sh 3600 kwa kilo.
Huko mitaani wananchi wanalia juu ya ugumu wa maisha. Maana uchumi umekwama. Hali ya mzunguko wa pesa ni nduni na raia wanalia.
Maisha ni magumu . Kupata mlo ni ngumu alafu mkuu mkuu wa nchi anataka wananchi wapate lishe bora ili wazaliane. Hii ina wezekana?