Baba Dayana
Senior Member
- Jul 1, 2016
- 144
- 330
- Thread starter
- #101
Si ndio,Mtoa bada sidhani, kama anamaanisha watu walale uchi, ila anashangaa kuwa na nguo maalumu za kulalia, kama zile zinazoitwa kwa kizungu night dress, maana yeye akiwa na pensi la jinzi, anaanguka nalo, akiwa na bukta sawa tu, mkewe akilala na kitenge twende, sket ilimradi pakuche, naona anamaanisha hivyo.