Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

ruka walau kamba hapohapo nyumbani hii miili bila mazoezi hashki zaweza kuwa juu sana,hasa ukichagiza na hivi vyakula vya mafutamafuta

uzuri mi ni mzee naelewa mana nilikua kijana pia.
Mbali na uzee una mtu wa kukupunguzia hashki...🤣🤣 Kamba ninayo ngoja nianze asubuhi
 
Tatizo lako ni ukosefu wa kibunda mkuu.
Acha tu nguo, Ukiona unalala kichwa wazi pia inabidi ujitume sana
 
Exposure mkuu huna! Nyie ndiyo mnaoota mnaliwa kiboga na mazombi, Mwanaume si sawa kulala uchi kabisa Kuna dharula au kuvamiwa. Ukiwa umevaa walau Nguo fulani utaweza kujitetea.

Piana matumizi na hali ya hewa,njoo Mbeya kama utaweza kulala kibeberu kama unavyodhani😂
Mtoa bada sidhani, kama anamaanisha watu walale uchi, ila anashangaa kuwa na nguo maalumu za kulalia, kama zile zinazoitwa kwa kizungu night dress, maana yeye akiwa na pensi la jinzi, anaanguka nalo, akiwa na bukta sawa tu, mkewe akilala na kitenge twende, sket ilimradi pakuche, naona anamaanisha hivyo.
 
Back
Top Bottom