Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

[emoji28][emoji28][emoji28] mm niliona Kwenye familia Moja cku Moja imefika jioni naonaa watt na wadda wakazi na mama wamevaa sare zimefanana nikajua Wana Toka out kumbe ndio nguo zakulaliaa [emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
Tafuta ela boss hata ndani tunaingia na viatu siyo unavua nje
 
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
Inategemea una ishi wapi, kama kwa mtpgole na the likes basi hakuna haja ya kuwa na nguo za kulalia
 
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
DahπŸ€”πŸ™‡πŸΏβ€β™‚ kila tukio lina mavazi yake rasmi ujue
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mm niliona Kwenye familia Moja cku Moja imefika jioni naonaa watt na wadda wakazi na mama wamevaa sare zimefanana nikajua Wana Toka out kumbe ndio nguo zakulaliaa πŸ˜”
🀣🀣🀣🀣hii comment imenivunja mbavu.
Gwele
 
Back
Top Bottom