Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
Wapo wengine na nguo za kuendea msalani mkuu
 
Siwezi lala na nguo, jasho, joto, mwili kubanwaa.

Aaaah huwa nalala km nilivyozaliwa, japo nguo za kulalia zipo kwa emergency case.

Woiiiiiih
 
tafuta pesa asee.... usikute unalala kwenye banda la mbuzi saa ngapi utaona umuhimu wa nguo za kulalia....... unaishi stoo nguo za kulalia bei yake inakulisha mwezi mzima......

ukiishi kama paka lazima kuna vitu hutavielewa cave man
Kweli bana, acha nitafute hela labda nitaona umuhimu wa nguo zakulalia 😀
 
Exposure mkuu huna! Nyie ndiyo mnaoota mnaliwa kiboga na mazombi, Mwanaume si sawa kulala uchi kabisa Kuna dharula au kuvamiwa. Ukiwa umevaa walau Nguo fulani utaweza kupambana na kujitetea.

Pia inategemeana na hali ya hewa, njoo Mbeya kama utaweza kulala kibeberu kama unavyodhani😂
Dooh!! Aisee Mimi siwezi
 
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
Mandoto ya kukabwa na kutokewa na mizimu haiishi
 
Wanazipatqqq wapiii khaaaaa umenikumbushaa mbali nilimnunulia wife enzihizo nguo za kulalia mnaita sijui nyt dress ghali toka nje gafla tukitibuana yaan mwendo wa sketi ktandan

Siku tukaend kwa dadake kumpa pole aliumia kha namkuta ana fl sqd ya nguo yangu

Toka sikuhio sijawahi nunulia nke kamwe
Hii lugha gani mkuu
 
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
Watakuja watu watasema tafuta helaaa duuuh qddk sema uzungu mwingiiii
 
Exposure mkuu huna! Nyie ndiyo mnaoota mnaliwa kiboga na mazombi, Mwanaume si sawa kulala uchi kabisa Kuna dharula au kuvamiwa. Ukiwa umevaa walau Nguo fulani utaweza kupambana na kujitetea.

Pia inategemeana na hali ya hewa, njoo Mbeya kama utaweza kulala kibeberu kama unavyodhani😂
Daaaah mkuu wewe una nguo za kulaliaaa
 
Back
Top Bottom