Baba Dayana
Senior Member
- Jul 1, 2016
- 144
- 330
- Thread starter
-
- #101
Si ndio,Mtoa bada sidhani, kama anamaanisha watu walale uchi, ila anashangaa kuwa na nguo maalumu za kulalia, kama zile zinazoitwa kwa kizungu night dress, maana yeye akiwa na pensi la jinzi, anaanguka nalo, akiwa na bukta sawa tu, mkewe akilala na kitenge twende, sket ilimradi pakuche, naona anamaanisha hivyo.
π€£π€£Kabisa juz hapa jirani kaibiwa simu kupitia dirishani na mm kwangu nikakuta dirisha limefunguliwa kilichonisaidia ni kitanda kilizuia kuniibia simu nikawaza ningelala bila nguo si ni hatar hiiπ€£π€£π€£Kuna siku watakupiga picha mkuu ππππ
Ungelala bila nguo. leo hapa ingekua kuna uzi wako unakimbiza tu ππππππππππ€£π€£Kabisa juz hapa jirani kaibiwa simu kupitia dirishani na mm kwangu nikakuta dirisha limefunguliwa kilichonisaidia ni kitanda kilizuia kuniibia simu nikawaza ningelala bila nguo si ni hatar hiiπ€£π€£π€£
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.
Nguo zakulalia tena?
Yani sithubutu kulala bila nguoUngelala bila nguo. leo hapa ingekua kuna uzi wako unakimbiza tu πππππππππ
Mi namuona tuu huyu Vishu Mtata yeye anajiamini anasema ety yeye hato trend....
Ngoja ajichanganye πππ
Unaogopa nn sasa.... Si shuka lipo au unazani kina vishu wanalala welele kabisa π π π π πYani sithubutu kulala bila nguo
Mwizi hana muda wa kukupiga picha wewe acha woga, labda awe anaiibia pisi na imelala kihasara ndo ataipiga picha walau apigie nyeto.Ungelala bila nguo. leo hapa ingekua kuna uzi wako unakimbiza tu πππππππππ
Mi namuona tuu huyu Vishu Mtata yeye anajiamini anasema ety yeye hato trend....
Ngoja ajichanganye πππ
ππππ Kuna watu hawaamini hiki kitu cha ww kulala welele etyMwizi hana muda wa kukupiga picha wewe acha woga, labda awe anaiibia pisi na imelala kihasara ndo ataipiga picha walau apigie nyeto.
Ningeshare hapa ila sheria haziruhusuππππ Kuna watu hawaamini hiki kitu cha ww kulala welele ety
ππππππNingeshare hapa ila sheria haziruhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah,umenikumbusha yule mchungaji mgogo alisema eti mwanamke umeolewa halafu unalala na bukta kubwaa na T-shirt imeandikwa "sensa kwa maendeleo"hata mume anashindwa kukusogelea[emoji1][emoji1].
Mtego huoπ€£π€£π€£π€£ Mna hatari Sana aiseeπ€