Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki.
Tumpe pongezi zake.
Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini.
Wimbo wa ninasiri umetoka miezi minne iliyopita mpaka sasa unaviews Millioni 21, na wimbo wa nitaamini umetoka wiki mbili zilizopita mpaka sasa una views Millioni 3.2.