Inashangaza sana kuona mwanaume eti anaogopa kuoa

Kuowa au kuoa...andika vizuri kwanza
 
Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli?

Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa?

Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa.

Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
Waambie kuwa, Elli anasema "usipooa UTAOLEWA! Na Mimi nasema waolewe tu, maana hakuna namna sasa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…