Inashangaza sana, viongozi kuacha Tril. 360 za makinikia na kukomaa na tozo za line za simu kwa wananchi

Hivi tunakwenda wapi jamani?

Kwa nini msikomae na hawa wawekezaji wakubwa ili tupate matrlioni kuliko kukomaa na vijisenti vyetu?
View attachment 2370251
Hizo story za trilioni 360!,ilikuwa ni swaga ya mwendazake tu,ni yeye aliyeamini huu upuuzi,wenzie hawakuamini,walijua ni kitu kisichowezekana,ila walimshangilia Ili kulinda vibarua vyao.
 
"Serikali corrupt haikusanyi kodi. Itabaki kufukuzana fukuzana na vijitu vidogo vidogo mabarabarani hivi basi". - Julius K Nyerere
 
CCM na janga kwa taifa hili lipo wazi kabisa huhitaji degree kutambua angalia sera zao zilikuw zilivyo hovyo na takataka mfano ni hili la bima ya afya kwa wote.
 
Records zipo wazi JPM alilikoroga na kulinywa hata kusafirishwa Tena makinikia kuliendelea akiwepo rejeeni TWIGA company.
Mwacheni Mama asonge mbele visiki vya wanafiki na wazandiki havina maana.
 
Serikali ikikomaa na wawekezaji wakubwa, watahamia nchi nyingine. Mnataka nchi ifilisike?
 
Huwezi kupata pesa ambayo inazidi GDP yako ya nchi.
Hii ilikuwa ni ulagai mkubwa sana Toka Kwa Jiwe na kamati zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…