Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?!

Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
Screenshot_20260715-111959~2.jpg
 
Unafiki ni tatizo kubwa sana katika hili taifa.
Watu kwa sababu wanampenda na wana mahaba na Sheikh wao wanamuona binti mzazi mwenzake na mzinzi mwenzake kama shetani kumtaka Sheikh hadharani alee mtoto wake.
Mi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikh

(Kama tuhuma juu yake ni za kweli)
 
Back
Top Bottom