min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
😃Nimeshaanza kukuonea wivu.Ngoja nimcheki noma kwanza.Kiwi ya macho!
😃Nimeshaanza kukuonea wivu.Ngoja nimcheki noma kwanza.Kiwi ya macho!
Kuna matajiri wa mererani waliwafanya vibaya sana mabinti kwa tamaa za pesa , hizi mambo za kuna danga naenda kulikomoa zitawatokea puaniKumbafuu bwashee
Haya.Kama kuku angezijua tarehe za sikukuu tungezijua mbio zake.Hakuna hiyoooo
Bwashe mie nimetulia Alhamdulillah 😊🤣Kuna matajiri wa mererani waliwafanya vibaya sana mabinti kwa tamaa za pesa , hizi mambo za kuna danga naenda kulikomoa zitawatokea puani
Haya sawa 🤣Haya.Kama kuku angezijua tarehe za sikukuu tungezijua mbio zake.
Haya mambo yana mengi , wadada baadhi wakiona mtu anacheo na uwezo wanajilengesha kubeba mimba , wakizinguliwa ndio wanaanza tafuta huruma Robert Heriel MtibeliBwashe mie nimetulia Alhamdulillah 😊🤣
Aisee na kuzaa tena 🤣🤣 nilivyo sitaki heka heka saiviHaya mambo yana mengi , wadada baadhi wakiona mtu anacheo na uwezo wanajilengesha kubeba mimba , wakizinguliwa ndio wanaanza tafuta huruma Robert Heriel Mtibeli
Usizunguke bwa shee!Kwa hiyo,dada alikuwa amefika kwa sheikh.Ila sheikh ndiye kang'oa nanga wakati abiria karudia mzigo wake pwani?Haya mambo yana mengi , wadada baadhi wakiona mtu anacheo na uwezo wanajilengesha kubeba mimba , wakizinguliwa ndio wanaanza tafuta huruma Robert Heriel Mtibeli
Hakuna ukweli wowote,hizo ni siasa za CCM ndani ya Bakwata. Sheikh kanyoka anasimamia haki.Mi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikh
(Kama tuhuma juu yake ni za kweli)
😅😢😁😆😃Wanataka Kuvunja Unyumba Wa WatuBaadhi ya wanaume ni wanafki sana
Hana ushahidi wowoteAweke ushahidi tuone
Mimi nilete ushahidi au weweLeta ushahidi kuwa Sheikh sio sehemu ya CCM.
Hiyo kazi hata ungepewa wewe ungeiweza mkuu! ?Weka post za wanaomshambulia
Tufanye huyo sheikh amekosea. Basi mchukue wewe huyo mwanamke.Unafiki ni tatizo kubwa sana katika hili taifa.
Watu kwa sababu wanampenda na wana mahaba na Sheikh wao wanamuona binti mzazi mwenzake na mzinzi mwenzake kama shetani kumtaka Sheikh hadharani alee mtoto wake.
Mood inakata?Mi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikh
(Kama tuhuma juu yake ni za kweli)
Sawa mkuuHakuna ukweli wowote,hizo ni siasa za CCM ndani ya Bakwata. Sheikh kanyoka anasimamia haki.
Imagine😅😢😁😆😃Wanataka Kuvunja Unyumba Wa Watu
SijawahiMood inakata?
umewahi ku date na mimi?