Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hii totoz sheikh aliiona madrasa Nini? Ina sauti Fulani hv kama ana mafua
Alibakwa au kuna makubaliano yoyote kimaandishi?Hakuna haja ya kufanya,
Binti apewe haki yake, acheni dhulma kupindisha mambo.
Teh teh tehHii totoz sheikh aliiona madrasa Nini? Ina sauti Fulani hv kama ana mafua
Single mother nyingine hii town au ?Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?!
Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
View attachment 3631059
Sasa mood inakataje kabla haujanipitia?Sijawahi
Sheikh amekuachia wewe umalizie alipoachia.Kama Sheikh atamtelekeza hivyo ndivyo itakuwa
🤣🤣🤣Sasa mood inakataje kabla haujanipitia?
Ila Jf 😄😄😄😄Tufanye huyo sheikh amekosea. Basi mchukue wewe huyo mwanamke.
Jamaa kachapiwa na sheikhHana ushahidi wowote
Hiyo ya sheikh bado sijaipata vizuri kwani alikua mke wKe?Usizunguke bwa shee!Kwa hiyo,dada alikuwa amefika kwa sheikh.Ila sheikh ndiye kang'oa nanga wakati abiria karudia mzigo wake pwani?
Habari iliyopo ni kaolewa na yeye akikana hakuolewa bali Sheukh kachovya yaani walizini. Inasemekana aliachwa na mimba kaleta baada ya kuachwa. Akitakiwa kupima DNA hataki, mahakamani pia lilipoletwa suala la DNa Kaingia mitini.Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?!
Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi kwamba amepangwa ndipo mueleweke kumtetea Sheikh wenu kipenzi.
View attachment 3631059
Wema ni akiba mkuu.Ila Jf 😄😄😄😄
Try me once.
Yes ndio maana milio ya nyuzi nyingi haishiJamaa kachapiwa na sheikh
Moderator ushahidi huu hapa,huyo Yoda nyuzi zake zifutwe.Habari iliyopo no kaolewa na yeye akikana ahakuolewa bali Sheukh kachovya yaani walizini. Inasemekana aliachwa na mimba kaleta baada ya kuachwa. Akitakiwa kupima DNA hataki, mahakamani pia lilipoletwa suala la DNa Kaingia mitini.
Kwanini hataki kupima kama ni mtoto wa Sheikh? Kwanini asema hakuolewa wakati aliolewa na kupewa talaka?
Goma la nje,bloo!Hiyo ya sheikh bado sijaipata vizuri kwani alikua mke wKe?
Andika vizuri mkuu ueleweke.Habari iliyopo no kaolewa na yeye akikana ahakuolewa bali Sheukh kachovya yaani walizini. Inasemekana aliachwa na mimba kaleta baada ya kuachwa. Akitakiwa kupima DNA hataki, mahakamani pia lilipoletwa suala la DNa Kaingia mitini.
Kwanini hataki kupima kama ni mtoto wa Sheikh? Kwanini asema hakuolewa wakati aliolewa na kupewa talaka?
Hujaelewa nini hapo? Aibu utaona weweAndika vizuri mkuu ueleweke.