Unafiki ni tatizo kubwa sana katika hili taifa.Baadhi ya wanaume ni wanafki sana
Aweke ushahidi hapa na sio porojo tuBaadhi ya wanaume ni wanafki sana
ZileteNitazileta
Wa kwanza ni wewe.Weka post za wanaomshambulia
Mi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikhUnafiki ni tatizo kubwa sana katika hili taifa.
Watu kwa sababu wanampenda na wana mahaba na Sheikh wao wanamuona binti mzazi mwenzake na mzinzi mwenzake kama shetani kumtaka Sheikh hadharani alee mtoto wake.
Ngoja tuoneAweke ushahidi hapa na sio porojo tu
Aweke ushahidi tuoneNgoja tuone
Wapi nimeshambulia ? Hao watu ndio kwanza nawaona hapaWa kwanza ni wewe.
Haujakutana na shaitwan bin jinii linalojua kupiga sounds hadi unashindwa na kulegea bila shuruti.Mi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikh
(Kama tuhuma juu yake ni za kweli)
Tuliza mzuka wewe!Wapi nimeshambulia ? Hao watu ndio kwanza nawaona hapa
Na mtakutana nao san pesa mbele mauti nyumaMi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikh
(Kama tuhuma juu yake ni za kweli)
Nakula bia polepole tu hapa sina mzuka bwasheeTuliza mzuka wewe!
Hakuna hiyooooHaujakutana na shaitwan bin jinii linalojua kupiga sounds hadi unashindwa na kulegea bila shuruti.
Nimeshaanza kukuonea wivu.Ngoja nicheki noma kwanza.Kiwi ya macho!Nakula bia polepole tu hapa sina mzuka bwashee
Kumbafuu bwasheeNa mtakutana nao san pesa mbele mauti nyuma