Inashangaza wanaoshambulia single mothers kumtetea Sheikh Walid kwa wivu mkubwa

Habari iliyopo ni kaolewa na yeye akikana hakuolewa bali Sheukh kachovya yaani walizini. Inasemekana aliachwa na mimba kaleta baada ya kuachwa. Akitakiwa kupima DNA hataki, mahakamani pia lilipoletwa suala la DNa Kaingia mitini.

Kwanini hataki kupima kama ni mtoto wa Sheikh? Kwanini aseme hakuolewa wakati aliolewa na kupewa talaka?
 
Moderator ushahidi huu hapa,huyo Yoda nyuzi zake zifutwe.
 
Andika vizuri mkuu ueleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…