Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Wewe mbona unatumia ID fake kumchafua sheikh?Hakuna ushahidi hapa ni comment tu.
Inashangaza unasema huu ni ushahidi kutoka kwa mtu aliyejificha ila kadi ya binti na maelezo yake yote unayapuuza
Kwa hiyo hilo karatasi ndio ushahidi wako?Hakuna ushahidi hapa ni comment tu.
Inashangaza unasema huu ni ushahidi kutoka kwa mtu aliyejificha ila kadi ya binti na maelezo yake yote unayapuuza
Yale yale😅Goma la nje,bloo!
Kiukweli alichofanya sheikh sii sawa kabisa as a man.Mi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikh
(Kama tuhuma juu yake ni za kweli)
Mgeni rasmi alipaswa kurasimisha goma la nje kabla ya dhahma hii.Ona sasa anavyopopolewa kila upande!Yale yale😅
Sheikh kulea mtoto wake inahitaji mwanamke kuwa kwenye ndoa??wakati anapanua paja hakujua kuwa hana ndoa naye?
anachokidai leo hana haki nacho ndo maana alikubali kutopewa tokea siku ya kwanza..
na hata alichofanya sasa hakitompa huo uhalali zaidi ya kuharibu..
Maadili ya uongozi yanambana.Sheikh kulea mtoto wake inahitaji mwanamke kuwa kwenye ndoa??
Hakuna lolote hapo,malaya kama malaya wengine tuu.Story ya huyo dada imenyooka, Haina contradictions.
Hakujua au alipuuza kwamba anajiingiza motoni.Mahasimu wanapita mulemule.Angemuhudumia hata kisiri,
Acha kukurupuka kwa usiyoyajua,kwa nini huyo binti amegoma kwenda kupima DNA kama amezaa nae kweliUnafiki ni tatizo kubwa sana katika hili taifa.
Watu kwa sababu wanampenda na wana mahaba na Sheikh wao wanamuona binti mzazi mwenzake na mzinzi mwenzake kama shetani kumtaka Sheikh hadharani alee mtoto wake.
Usichoelewa wewe ni kipi?Andika vizuri mkuu ueleweke.
Wewe jamaa mbona unakaza sana kichwa ..Kama Sheikh atamtelekeza hivyo ndivyo itakuwa
Hakuna Sheihk pale ni muhuni kama wahuni wengine tu.Mi nikiona hivi hata mood ya dating inakata imagine ukutane na mwanaume sample ya sheikh
(Kama tuhuma juu yake ni za kweli)
Hatari sanaHakuna Sheihk pale ni muhuni kama wahuni wengine tu.