Ilikuwaje Magufuli alipoenda Biharamulo akashindwa kura za maoni then akarudi kushika chalk? What about Dr Mwele mwaka 2015 aliomba ruhusa kwenda kugombea Urais aliposhindwa akarudi kwenye ukurugenzi wake?Miaka ya 2000 mwanzoni ilitoka sera sijui sheria, ukiwa mwajiriwa ukaamua kuonesha nia kazi unaondolewa.
Namkumbuka dada roz pale mbeya aliingia kugombea kupitia cuf kazi ikaishia na ubunge kakosa.
Labda wamepunguza makali
Wewe unaonaje ?Watu wanaomba Ruksa ila matokeo yake,wanatumbuliwa. 2015 tulishuhudia Dr Mwele aliomba ruksa kwenda kuomba Urais,aliposhindwa kupita kwenye mchujo,akarudi kwenye nafasi yake ya ukurugenzi.Nimejikuta tu kwenye huu uzi.Sijui hata kinachoendelea.
Nimejiuliza,Rais wetu mpendwa,alipokuwa mwalimu pale Sengerema secondary school,alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo je aliachishwa kazi ?Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao,badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa...
Yure muruke... Yure mupe......!!!!Hivi Makonda ameishaomba ruksa?