ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Usidanganye umma.Hivyo ndivyo ilivyo hapa Tanzania. Ukiomba kugombea cheo chochote cha kisiasa basi utumishi wako unakoma hapohapo. Ukishindwa kuchaguliwa imekula kwako. Sheria mbaya sana ise!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usidanganye umma.Hivyo ndivyo ilivyo hapa Tanzania. Ukiomba kugombea cheo chochote cha kisiasa basi utumishi wako unakoma hapohapo. Ukishindwa kuchaguliwa imekula kwako. Sheria mbaya sana ise!
Ulikuwa supporter wake sana hukujua kuwa Nduhu munhu ho.He is not Jesus,and he will never be...
.Mimi sina chama ujue.
Imagine. Pale Kilosa mbunge ni nani ?Afu ujue kabudi anapigiwa kampeni wazi wazi tena kwao kilosa, Baba wa kabudi alikaa kilosa kama mwinjilisti ndio jamaa kazaliwa kule lakini ni mgogo leo hii anaitwa mtu wa kilosa na jimbo anapewa na hana hata kibanda pale anafikia hotel
Sijawahi kuwa supporter wake tokea 2015, sema kuna wakati kwenye vipengele vingine unaona bora yeye kuliko mpinzani wake. Ila sometimes naona anawakandamiza sana wengine. Anawaambia waridhike why yeye hakuridhika na ualimu? Why yeye hakuridhika na Uwaziri?Ulikuwa supporter wake sana hukujua kuwa Nduhu munhu ho.
Halima Mdee ni Mbunge wa Kawe kwa Wazaramo cha ajabu nini?Afu ujue kabudi anapigiwa kampeni wazi wazi tena kwao kilosa, Baba wa kabudi alikaa kilosa kama mwinjilisti ndio jamaa kazaliwa kule lakini ni mgogo leo hii anaitwa mtu wa kilosa na jimbo anapewa na hana hata kibanda pale anafikia hotel
Labda kuna sababu nyingine nyuma.Huwezi jua.Wewe unaonaje ?Watu wanaomba Ruksa ila matokeo yake,wanatumbuliwa. 2015 tulishuhudia Dr Mwele aliomba ruksa kwenda kuomba Urais,aliposhindwa kupita kwenye mchujo,akarudi kwenye nafasi yake ya ukurugenzi.
Vita Ni MbinuRuhusa maana yake, ukirudi unarudi kwenye nafasi yako. Hapa naona wanatumbuliwa na wakishindwa kura za maoni maana yake imekula kwao.
Kwani kwa ufahamu wako kina Mwanri, Mshama wamestaafu kweli?Nani katumbuliwa? Tule na mfano kabisa!
Kwa maana hiyo sasa hivi Magu ndiyo katiba ya nchi yeye ndiye anayeamua uhuru wa wengine kufanya mambo yao.Sijawahi kuwa supporter wake tokea 2015, sema kuna wakati kwenye vipengele vingine unaona bora yeye kuliko mpinzani wake. Ila sometimes naona anawakandamiza sana wengine. Anawaambia waridhike why yeye hakuridhika na ualimu? Why yeye hakuridhika na Uwaziri?
Ni vile anawashauri waridhike, yeye angeridhika na ualimu angeukamata ubunge ? Angeridhika na ubunge je leo angekuwa Rais. Anawashauri watu kitu ambacho yeye hakuwahi kukifanya.Labda kuna sababu nyingine nyuma.Huwezi jua.
Hivyo ndivyo ilivyo hapa Tanzania. Ukiomba kugombea cheo chochote cha kisiasa basi utumishi wako unakoma hapohapo. Ukishindwa kuchaguliwa imekula kwako. Sheria mbaya sana ise!
Kwa ufupi mzee huyu ana roho mbaya! Nawashangaa watu sijui kwa nini wanataka apewe tena 5 year? Mimi hajanishawishi kabisa!Ni vile anawashauri waridhike,yeye angeridhika na ualimu angeukamata ubunge ?angeridhika na ubunge je leo angekuwa Rais. Anawashauri watu kitu ambacho yeye hakuwahi kukifanya. Na katika maisha ili ufanikiwe hutakiwi kuridhika na sehemu uliyopo lazima ufanye juhudi za kwenda juu zaidi labda uugue au ufe ndo huo utakuwa mwisho.