May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Alafu mbaya zaidi anamwambia yule anayeenda "Tabora ni Mkoa Mkubwa.. kuna matatizo mengi nenda kayatatue"Ndiyo maana hajamsifia Mwanri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu mbaya zaidi anamwambia yule anayeenda "Tabora ni Mkoa Mkubwa.. kuna matatizo mengi nenda kayatatue"Ndiyo maana hajamsifia Mwanri
Inanishangaza maana wakati mwingine naona kama vile Watanzania tunataka tuongozwe na malaika.Sijawahi kuwa supporter wake tokea 2015,sema kuna wakati kwenye vipengele vingine unaona bora yeye kuliko mpinzani wake. Ila sometimes naona anawakandamiza sana wengine. Anawaambia waridhike why yeye hakuridhika na ualimu ?why yeye hakuridhika na uwaziri ?
Kwani kwa ufahamu wako kina Mwanri, Mshama wamestaafu kweli?
Magufuli aligombea mara mbili ubunge nakushindwa.Lakini hakukata tamaa hadi mara ya tatu walipomega jimbo akashinda.Sijawahi kuwa supporter wake tokea 2015,sema kuna wakati kwenye vipengele vingine unaona bora yeye kuliko mpinzani wake. Ila sometimes naona anawakandamiza sana wengine. Anawaambia waridhike why yeye hakuridhika na ualimu ?why yeye hakuridhika na uwaziri ?
Magufuli ana ushenzi sana.Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.
Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Kabisa anawaambia wenzake waridhike,why yeye hakuridhika na akabaki kufundisha Sengerema boys sec?Akaenda gombea Ubunge,still hakuridhika na akachukua form za urais. Ila wengine waridhike.Upo sawa kabisa Magufuli ana ushenzi sana.Magufuli ana ushenzi sana.
Ni kama kapata yeye anataka kumzibia kila mtu mwingine asipate.
This is not fair. Kamishina wa Elimu angemnyima ruhusa enzi zile,mpaka sasa si angekuwa anakamata chalk ?Magufuli aligombea mara mbili ubunge nakushindwa.Lakini hakukata tamaa hadi mara ya tatu walipomega jimbo akashinda.
Magufuli hataki wengine watumie njia aliopitia yeye.Sababu sijui,lakini akishakukatilia ukaenda kinyume ,subiri muziki wa ala,hata ubunge hawapiti.
UNAYEMPENDA SANANimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.
Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Kama double standards vile, kina Kabudi nao wataachishwa?
Hujui lolote. Kwanza Magufuli hakuwa anafundisha Iringa,pili Magufuli kishawahi kushindwa kura za maoni kule Biharamulo mara mbili,hadi lilipogawanywa ndo akaja akapita kura za maoni. Naona unaleta story za vijiweni kwenye Gahawa.Magufuli Alichaguliwa na Mkapa kugombea ubunge 1995, Baada ya Mkapa kupita Chato na kuona pako very Primitive, ndiyo akauliza ninani anaweza kuwa mbunge ambaye anatoka pale kjijini, ndiyo wazee wakampendekeza Magufuli kipindi hicho Ni Mwalimu iringa.
Note: Tofautisha Kuomba Ruhusa na Kuchaguliwa.
Dish halina chaneli kabisa, kifamilia yupo mmoja ni chizi freshNimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?
Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.
Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Makonda is exempted! as was the case with of forged education credentialsAnaogopa,maana ukiomba ruksa,unapigwa chini.
Sio kwny kura za maoni,alishindwa kwny uchaguzi mkuu na Kabuye.Hujui lolote. Kwanza Magufuli hakuwa anafundisha Iringa,pili Magufuli kishawahi kushindwa kura za maoni kule Biharamulo mara mbili,hadi lilipogawanywa ndo akaja akapita kura za maoni .Naona unaleta story za vijiweni kwenye Gahawa.
Hamuwezi kulingana na nyakati zimebadilika sana. kaa mahali pako.Magufuli aliposhindwa kura za maoni kule Biharamulo, si alirudi kufundisha?
walioondolewa kazini walikuwa ni wale walioomba kwa tiketi ya upinzani tena sio mfano Mbunge wa sasa wa serengeti ndugu mwita aliondolewa ualimu kwa kuwa aligombea kwa chadema kabla hajaunga mkono juhudi.Miaka ya 2000 mwanzoni ilitoka sera sijui sheria, ukiwa mwajiriwa ukaamua kuonesha nia kazi unaondolewa.
Namkumbuka dada roz pale mbeya aliingia kugombea kupitia cuf kazi ikaishia na ubunge kakosa.
Labda wamepunguza makali