Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?

Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.

Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Me naona umri mrefu niweze kuona mengi zaidi ya Tanzania ya wisky
 
Role ya Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa wilaya au mkoa wakati wa uchaguzi hauwezi kuilinganisha na ya Mwalimu wa Chemia Sengerema nadhani issue itakuwa hiyo.

Kingine hebu Imagine,mtu akagombea ubunge mkoa ambao yeye ndiye RC aliye likizo.

Isitoshe alishawaambia wateule wake kwamba ukienda kugombea na ukakosa, usitarajie uteuzi tena so ni kama anafanya homework shuleni.

Kazi ambayo angeifanya November,anaifanya July.
 
Wewe ndo unajitia ujuaji kumbe hamna kitu.

Emu thibisha hapa hapa kuwa wametumbuliwa
Sioni hata logic yako ya kuleta ligi...inatosha ukijiuliza kama je Mwanri na Mshama bado wapo kwenye nafasi zao?
 
Alipita wakati wa Kampeni Mkuu. Una lingine??
Kwahiyo alimchagua kama mbunge wa kuteuliwa au? Maana nijuavyo by the time kampeni inafanyika, uteuzi wa wagombea unakuwa umekamilika. Ni vipi Mkapa aliweza kumchagua magufuli awe mgombea wakati wa kampeni yake?
 
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?

Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.

Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Walishapitisha huko nyuma kwenye chama chao cheo kimoja tuu,kumbuka Chalamila alikuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa baada ya kuteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa wa Mbeya ikabidi auteme Uenyekiti.

Kwa hiyo chaguo unalo mtia nia uende au ubaki
 
Sasa wakati wewe umeomba ruhusa huku nyuma kazi zako afanye nani? Serikali hii umeshaambiwa kauli mbiu yake ni HAPA KAZI TU, sasa unadhani wananchi kero Zao zitatatuliwa na nani wakati wewe haupo? Usifananishe sijui na mwaka 1985 au sijui serikali zilizopita, kila Rais ana mikakati yake ya kuendesha serikali, ukiomba ruhusa tunakupa mkono wa kwaheri, wengine waje waendeleze gurudumu, sasa we unataka kipindi uko kwenye kampeni nani afanye kazi zako?
Well said aisee huo ndio ukweli hii ni serikali ya hapa kazi tuu
 
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?

Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.

Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Hiyo ndiyo maana halisi ya dikteta!
 
Ilikuwaje Magufuli alipoenda Biharamulo akashindwa kura za maoni then akarudi kushika chalc ?What about Dr Mwele mwaka 2015 aliomba ruhusa kwenda kugombea Urais aliposhindwa akarudi kwenye ukurugenzi wake?

Ukigombea kupitia CCM ukikosa hakuna shida utarudi tu kwenye kazi yako bila tatizo. Ila anayegombea kupitia vyama pinzani na akakosa kuchaguliwa harudishwi kazini, wewe fuatilia tu utaona.
 
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
Hebu tuambie ungekua wewe ndio Mkuu ungefanyaje? Mkuu wa Wilaya/Mkoa/DAS/RAS nk. Anaomba ruhusa ya kujaribu bahati yake hivyo zile ofisi zao zifungwe?
 
Jana siyo kesho..office nyingi ukitangaza kuingia kwenye siasa kugombea unaomba ruhusa kuondoka na utaondolewa maana ktk kazi yako patapwaya,huduma ya kuhudumia wananchi haisubiri wewe ukashindwe urudi ndo uendelee kuwahudumia wananchi big No bro! hata ofc niliyopo mimi hapa ni NGO, mwenye kutia nia ni kwaheri

Nadhani vi vyema tukaelewa tulipotoka, Tulipo sasa na tunapokwenda. Tuangalie sheria na taratibu mbalimbali zinazomuongoza Mtumishi wa Umma wa sasa na wakati ule. Zipo tofauti kubwa tu. Tujaribu kuzisoma tuelewe zinalenga nini
 
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?

Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.

Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Nani aliyetumbuliwa mkuu!? Na kwanini atumbuliwe!? Kwani mtumbuaji yeye anatumbua mtu from nowhere tu!. Jamani tuache vitu ambavo havina mantiki.
 
Mkuu hivi Magufuli si alikua Mwalimu na aligombea mara mbili akashindwa lakini aliendelea na ualimu baadae? Au Historia ya huku imebadirika tangu 2015?

Tangu 2005, tusilazimishe kumbebeaha Magufuli huu mzigo. Namkumbuka Ramadhani Maneno akiwa mkuu wa wilaya alienda kugombea Chalinze akalazimika kuachia ngazi, huo ni mfano mmoja tu ninaokumbuka kwa haraka, lakini utaratibu huu upo siku nyingi kwa wateule.
 
Nani aliyetumbuliwa mkuu!?, na kwanini atumbuliwe!?, kwani mtumbuaji yeye anatumbua mtu from nowhere tu!. Jamani tuache vitu ambavo havina mantiki.
Wanaomba ruhusa ya siku kadhaa,badala ya kupewa ruhusa wanakuwa replaced. Ina maana wakishindwa kura za maoni ndo basi tena.
 
Jana siyo kesho..office nyingi ukitangaza kuingia kwenye siasa kugombea unaomba ruhusa kuondoka na utaondolewa maana ktk kazi yako patapwaya,huduma ya kuhudumia wananchi haisubiri wewe ukashindwe urudi ndo uendelee kuwahudumia wananchi big No bro! hata ofc niliyopo mimi hapa ni NGO, mwenye kutia nia ni kwaheri
Why Mkurugenzi Mwele Malecela alirudi kwenye nafasi yake ?Hata mwalimu Pombe Magufuli alirudi kwenye ualimu wake baada ya kushindwa kura za maoni vipindi viwili mfululizo.
 
Kweni hao wamesha kwenda wakashindwa na wamerudi wakanyimwa? Si bado, sasa why unahukumu kabla ya wakati
Why Mkurugenzi Mwele Malecela alirudi kwenye nafasi yake ?Hata mwalimu Pombe Magufuli alirudi kwenye ualimu wake baada ya kushindwa kura za maoni vipindi viwili mfululizo.
 
Hebu tuambie ungekua wewe ndio Mkuu ungefanyaje? Mkuu wa Wilaya/Mkoa/DAS/RAS nk. Anaomba ruhusa ya kujaribu bahati yake hivyo zile ofisi zao zifungwe?
Nampa zile wiki mbili kipindi cha kura za maoni. Akishindwa anarudi kazini. Akishinda kura za maoni hapo ndo unaweza mreplace maana atakuwa na campaign ndefu hata yeye mwenyewe ataresign tu. Ndio maana wanaomba ruhusa maana kura za maoni sio uhakika sana.
 
Kweni hao wamesha kwenda wakashindwa na wamerudi wakanyimwa? Si bado, sasa why unahukumu kabla ya wakati
Ndo kina Anna Claire Shija aliomba ruhusa aende Sengerema akapambane na Ngeleja. Sema ndo karepleciwa sasa. Imagine akishindwa kura za maoni.
 
Back
Top Bottom