Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

Inashangaza: Watu wanamuomba ruhusa Rais Magufuli, badala ya kupewa wanatumbuliwa

Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
hii Avatar yako ndio tumeizoea. uki nyingine huwa tunapita tu
 
Ndo kina Anna Claire Shija aliomba ruhusa aende Sengerema akapambane na Ngeleja. Sema ndo karepleciwa sasa. Imagine akishindwa kura za maoni.
Jamaa hata hueleweki kile unaongea..usiku mwema bana
 
Ndo kina Anna Claire Shija aliomba ruhusa aende Sengerema akapambane na Ngeleja. Sema ndo karepleciwa sasa. Imagine akishindwa kura za maoni.
Taratibu za Utumishi wa Umma zinasemaje? Na katika hali.ya Kawaida huwezi tumikia Mabwana wawili kwa wakati mmoja. Hapo lazima mmoja utakuwa mchepuko..

Yaani Annaclaire DED Same au mgombea Ubunge Sengerema. Wakati wa kutangaza washindi yeye anatangaza Same kwake afu yeye atangazwe Sengerema inakuja akilini kweli
 
hii avatar yako ndio tumeizoea. uki nyingine huwa tunapita tu
Kwa hiyo umeona avatar tu ?toa maoni yako basi juu ya kilichoandikwa. S'il te plaît dis quelque chose.
 
Taratibu za Utumishi wa Umma zinasemaje? Na katika hali.ya Kawaida huwezi tumikia Mabwana wawili kwa wakati mmoja. Hapo lazima mmoja utakuwa mchepuko..

Yaani Annaclaire DED Same au mgombea Ubunge Sengerema. Wakati wa kutangaza washindi yeye anatangaza Same kwake afu yeye atangazwe Sengerema inakuja akilini kweli
Bado hajapita kwenye chekecheo la maoni. Akipita kwenye kura za maoni mwenyewe ataresign.
 
Bado hajapita kwenye chekecheo la maoni. Akipita kwenye kura za maoni mwenyewe ataresign.
Bado anapaswa kuhudhuria vikao vya uteuzi wa kamati za Wilaya huko Sengerema..At the Same time anatakiwa kuwa DED Same. Anajigawaje. Actually yeye ndio kaomba kuachia ngazi.
 
Bado anapaswa kuhudhuria vikao vya uteuzi wa kamati za Wilaya huko Sengerema..At the Same time anatakiwa kuwa DED Same. Anajigawaje. Actually yeye ndio kaomba kuachia ngazi
Hajaomba kuachia ngazi bali aliomba ruhusa,ili endapo atashindwa kura za maoni anarudi kwenye kiti chake Same. Kwani alipokuwa likizo ya uzazi nani alimshikia ?
 
Hajaomba kuachia ngazi bali aliomba ruhusa,ili endapo atashindwa kura za maoni anarudi kwenye kiti chake Same. Kwani alipokuwa likizo ya uzazi nani alimshikia ?
Sidhani kama ni sahihi. Lugha gongano. Una namba za DED tumuulize swali ili tuonfoe huu utata?
 
Kama double standards vile, kina Kabudi nao wataachishwa?
Mtajuana huko huko! Tundu Lisu alipowaambia akimalizana na Wapinzani atawageukia nyinyi nyinyi, mkazidishia mipambio ya sifa huyo Jiwe. Sasa acha wote tugawane machungu haya.
 
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
Mbuzi wa bwana heri walikula kwenye shamba la bwana heri hayatuhusuuu

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?...
Habari ya jioni mwana Jf Kwanza napenda nimpongeze mheshimiwa Rais kwa utendaji mzuri lakini naomba nimpongeze zaidi kwenye hili maana yupo sahihi zaidi imekua desturi Sasa watendaji kwenye nafasi mbalimbali serikalini kuacha taaluma zao na kukimbilia siasa hasa nafasi ya ubunge lengo sio kwenda kuwatumikia wananchi lengo ni kuongeza kipato ndo maana tumekua na wabunge wa hovyo wasiojali shida za wananchi na MASLAHI mapana ya taifa letu kama mtu ni mkurugenzi nafasi iyo inatosha kutatua CHANGAMOTO za watanzania eneo husika kwaio ni vizuri akaonesha utumishi uliotukuka.
 
Nimejiuliza, Rais wetu mpendwa alipokuwa Mwalimu pale Sengerema Secondary School, alipoomba Ruhusa ya kwenda kugombea Ubunge kule Biharamulo. Je, aliachishwa kazi? Watu wanaomba ruhusa ili wakajaribu bahati zao, badala ya kupewa ruhusa wanatumbuliwa. Hii mnaionaje raia?

Binafsi naona sio sawa jamani au kwa vile ni nafasi za kuteuliwa? Najiuliza wale wa kwenye sector zisizo za kuteuliwa i.e watumishi wengine mfano walimu n.k wakiomba ruhusa nao wataachishwa kazi badala ya kupewa ruhusa. It means ukishindwa imekula kwako.

Hii ndo Tanzania ya Magufuli.
Hana UTU huyo "NTU FURANI".
 
Why Mkurugenzi Mwele Malecela alirudi kwenye nafasi yake ?Hata mwalimu Pombe Magufuli alirudi kwenye ualimu wake baada ya kushindwa kura za maoni vipindi viwili mfululizo.

Wife kwani una ndugu yako ana gombea? Mwambie achague moja! Akishindwa apambane na hali yake na asome halama za nyakati!
 
Mh.RAIS ni kama huwa ana kiburi cha kutaka kutukuzwa na kujitukuza anafanya mambo ili aonekane yeye kuliko taasis ya urais.
Issue iko hivi.

Mtumishi awe wa kuteuliwa au kuajiriwa kuna mfumo wa delegation of authority ..ikiwa hayupo kwa ugonjwa au kutumbuliwa huwa anakaimisha madaraka...Mkuu wa wilaya au mkoa asipokuwepo eneo la Kaz anakaimisha jirani yake.

Mkurugenzi atamkuimisha Mkuu wa idara au mtumishi anaemwamini katibu tawala atamukaimisha Afisa tarafa ...hawa wote hawawezi kuisha pale walipo..kinachomsumbua Magufuli ni wivu tu na umimi na umwinyi.

Kama watu wanaenda kujaribu bahati zao kwenye kura za maoni watarudi tu wakishinda wataomba ruhusa ya siku 90 bila malipo ..
 
Tangu 2005, tusilazimishe kumbebeaha Magufuli huu mzigo. Namkumbuka Ramadhani Maneno akiwa mkuu wa wilaya alienda kugombea Chalinze akalazimika kuachia ngazi, huo ni mfano mmoja tu ninaokumbuka kwa haraka, lakini utaratibu huu upo siku nyingi kwa wateule.
Mkuu usikengeuke...Yeye aligombea ubunge mara mbili na akashindwa,vipi aliacha kazi ya ualimu?
Utaratibu nikua mtu anaomba ruhusa ya likizo bila malipo
 
Back
Top Bottom