Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati

Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni

Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4

GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara

Screen Shot 2021-09-24 at 15.54.39.png
 
Dah inahuzunisha kiukweli,,, yani leo hii gharib aliekuja kama mdhamini tu na mpambe wake hersi na chawa wao manara na senzo huyu aliyetoka simba hawa wakukaa high table ya yanga alafu mwakale,bumbu, na msolla wakae uwani kitengo cha upishi kweli😭
Asee kuna mtifuano mkubwa nauona pale madimbwini muda utaongea
 
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati

Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni

Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4

GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara

View attachment 1950894
Yanga Ya Sasa..
Si ajabu Manara ndiye aliyataka picha ipigwe.."kuprove" kitu kwa watu fulani..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati

Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni

Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4

GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara

View attachment 1950894
Bumbuli, ndiye aliyekuwa anapiga picha. Sasa ataonekanaje?
 
Back
Top Bottom