Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

Hii ni picha ambayo imepostiwa maksudi ili kuwafanya utopolo waamini mafanikio yoyote ya ushindi kesho iwapo yatakuwepo,basi wahusika ni hao kwenye picha.
Kwa maneno mengine inaweza kuhalalisha kuondolewa kwa Bumbuli,na kuendelea kutengwa kwa mwenyekiti na isiwe taabu kwa wafuasi wa msukule
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati

Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni

Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4

GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara

View attachment 1950894
 
Msolla hayupo dar

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nilichogundua Kwenye hyo Picha hyo Gulam boss wa Gsm mtu peace sana
 
Sasa hata kama mtu poa ndo ampangie makamu mwenyekiti mwakalebela jikoni kuosha vyombo
Inasemekana jamaa mda wote picha inapigwa hakutakiwa kutoka jikoni
 
KinACHOnifurahisha kwenye hii thread yameanzisha mambumbu MAKOLO majinga majinga halafu yenyewe ndo yanajadili kwa wingi Sana halafu wanayanga ni kama vile hawana time kabisa hii ndo inaitwa USIMJIBU MPUMBAVU SAWASAWA NA UPUMBAVU WAKE USIJE UKAFANANA NAYE.
ama kwelI rage aLiOna mbali Sana kwamba anaongoza majitu majinga mambumbu ni ya kupuuzwa Tu.
 
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati

Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni

Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4

GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara

View attachment 1950894
Huo nao Uzi umekaa ukakosa kazi ukaamua kufichua ulivyo empty kichwani, kwaiyo kila tukio mpaka mwenyekiti awepo, nyie makorokoro jana mmekabidhiwa mabasi ya mkopo mbona atukumuona mwenyekit wenu mangungu au na yeye katengwa? Uwe unashirikisha kichwa chako kufikilia na sio makalio utaumbuka
 
Zamani nilikua najiuliza kidogo ni kwa nini magazeti ya michezo hususani Mwanaspoti yamekua yakiiandika sana Yanga kuliko simba japokua hata kufanya vibaya katika mashindano tofauti.

Nimekuja kugundua kua Yanga kila kitu wanachofanya ni 'content',Kiongozi au mtu yoyote ambaye yupo close na taasisi ya Yanga akifanya kitu chochote basi ni habari.

Na ndio maana hata hii picha iliyopigwa watu wakipata 'menu' imeshakua story tayari..
 
Alaaa hivi kumbe mnafanya vibaya siyo kwamba ni karia?halafu mwakalebela kuwekwa jikoni kuosha vyombo ni sahihi kweli huku sukule lipo mezani
 
Na mwenyekiti ndiye alikuwa anaserve chakula sio??? Braza mwakalebela the heaviest man kg buku alikuwa anafanya kazi gani??

Mtani Shadeeya haya Mambo VP ndugu yangu??? Hayakubaliki haya
Bumbuli, ndiye aliyekuwa anapiga picha. Sasa ataonekanaje?
 
Back
Top Bottom