CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Jamaa kama kwao Hali naona anampiga makelele mezani njaa mbayaHii ndio Yanga ya GSM sasa.
Naona hapo nafasi ya Nugaz kaka mzee wa kuchamba.
Kakaa Mkeraji....Atakerwa.....Hii ndio Yanga ya GSM sasa.
Naona hapo nafasi ya Nugaz kaka mzee wa kuchamba.
Amekaa MchambajiHuyo manara amekaa kama nani ? Mm nilitegemea hapo watakaa viongozi wazito wazito wa yanga kama mshindo au 800kg wao wamempenda zaidi manara
Yanga Ya Sasa..Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati
Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni
Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4
GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara
View attachment 1950894
Mwamedi katengeneza hii picha au katoa order kina msolla na Bumbuli na 800 kg wasiwepo?Duh na hizi nazo ni propaganda zinazolipwa na Mwamedi? Hela zake zinapotea bure
Bumbuli, ndiye aliyekuwa anapiga picha. Sasa ataonekanaje?Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati
Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni
Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4
GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara
View attachment 1950894
afisa habari hawezi kumtuma mssaidizi wake mr msukule kufanya hivyo? nasikia Msola na Mwakalebela walikuwa nje wanaongea na simuBumbuli, ndiye aliyekuwa anapiga picha. Sasa ataonekanaje?