Walisema ni kikao cha benchi ya ufundi ila sielewi huyo manara ni kama nani?Huyo manara amekaa kama nani ? Mm nilitegemea hapo watakaa viongozi wazito wazito wa yanga kama mshindo au 800kg wao wamempenda zaidi manara
Labda yeye ni fundi wa KUROGA!Walisema ni kikao cha benchi ya ufundi ila sielewi huyo manara ni kama nani?
Hapo anawadanganya ameenda na mbinu kabambe ya kuwafunga Simba maana anawafahamuLabda yeye ni fundi wa KUROGA!
Ukute wewe ndo Ghalib sema tu umeficha id yako.kolokwinyo mmevurugwa hadi mnaanzisha thread ya picha za watu wanakula,sahauni GSM kuondoka Yanga
Mwamedi katengeneza hii picha au katoa order kina msolla na Bumbuli na 800 kg wasiwepo?
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati
Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni
Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4
GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara
View attachment 1950894
Msolla hayupo darPicha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati
Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni
Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4
GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara
View attachment 1950894
bumbuli na mwakalebela je?
Gharib hanaga hizi za social media kama mwamediUkute wewe ndo Ghalib sema tu umeficha id yako.
Sasa hata kama mtu poa ndo ampangie makamu mwenyekiti mwakalebela jikoni kuosha vyomboNilichogundua Kwenye hyo Picha hyo Gulam boss wa Gsm mtu peace sana
Huo nao Uzi umekaa ukakosa kazi ukaamua kufichua ulivyo empty kichwani, kwaiyo kila tukio mpaka mwenyekiti awepo, nyie makorokoro jana mmekabidhiwa mabasi ya mkopo mbona atukumuona mwenyekit wenu mangungu au na yeye katengwa? Uwe unashirikisha kichwa chako kufikilia na sio makalio utaumbukaPicha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati
Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda alifanya la maana kuwaleta mara ya pili pale utopoloni
Kwenye hii picha kuna kocha aliyebakiza masaa 24 kufukuzwa, kuna kocha atayedumu hadi december halafu kuna papa zahera atakayefukuzwa mwishoni mwa msimu ujao baada ya kumalizi ligi akiwa nafasi ya 4
GSM
Hersi
Kaze
Zahera
Nabi
Senzo
Manara
View attachment 1950894
Alaaa hivi kumbe mnafanya vibaya siyo kwamba ni karia?halafu mwakalebela kuwekwa jikoni kuosha vyombo ni sahihi kweli huku sukule lipo mezaniZamani nilikua najiuliza kidogo ni kwa nini magazeti ya michezo hususani Mwanaspoti yamekua yakiiandika sana Yanga kuliko simba japokua hata kufanya vibaya katika mashindano tofauti.
Nimekuja kugundua kua Yanga kila kitu wanachofanya ni 'content',Kiongozi au mtu yoyote ambaye yupo close na taasisi ya Yanga akifanya kitu chochote basi ni habari.
Na ndio maana hata hii picha iliyopigwa watu wakipata 'menu' imeshakua story tayari..